hivi huyu mkaka.....

Status
Not open for further replies.
Rebeca mpendwa wetu, mbona unazidi kujiharibia tu?
  • We uliingia humu eti unatafuta mchumba.
  • Mara ukaanzisha thread ya kusema K yako ni kubwa, imechoka sana,
  • alafu we huyo huyo unampenda mpenzi wako wa utotoni...
  • sasa unakuja na picha ya mume wa watu eti unataka kua mke wa pili...
Kwa kweli sina uhakika kama mchumba wako atatokea humu JF...

atatoka kwa bwana. mia
 
Aseee!!! Kweli JF kiboko.
 
Jamaniii...ndugu zetu..tunawaheshimu sanaaaa...naona jamii forum haiko kwa ajili ya haya mambo....kuna mambo mengi sana ya kimapinduzi tunafanya humu ndanii...kwa mtindo huuu wa kuanza kusifiana nani handsome nani mrembo...hii serikali ya magamba haikawiii kusema forum yetu ni ya kiuni....mi nadhani haya mambo yana mahali pake na sio humu....jf tunasifika kwa hoja za kimapinduzi ndio maana hata makamu mwenyekiti wa magamba msekwa aliwahi kusema miongoni mwa maadui wakubwa wa chama cha magamba ni jamii forum...sasa naomba tusijiaribie credibility yetu jamanii..tuweke hoja za msingi......

Ni ushauri na maono yangu tu ndugu zangu sina nia mbaya.
 
Hahahahahaha lol! Kweli JF ni burudani ya aina yake!!!....Weye Mwali likaanguka varangati la kuvutana nywele na ngumi zilizoshiba mie siji kuamulia maana uchokozi umeuanza mwenyewe lol! hahahahah! Duh!
mimi nitamlinda Mwali wangu anachosema ni kweli kabisa.
 
Rebeca mpendwa wetu, mbona unazidi kujiharibia tu?
  • We uliingia humu eti unatafuta mchumba.
  • Mara ukaanzisha thread ya kusema K yako ni kubwa, imechoka sana,
  • alafu we huyo huyo unampenda mpenzi wako wa utotoni...
  • sasa unakuja na picha ya mume wa watu eti unataka kua mke wa pili...
Kwa kweli sina uhakika kama mchumba wako atatokea humu JF...

Haya uliyaweka wapi kwa ajili ya reference...kwenye RAM au diary??

JF huwa inaniacha hoi....Kama ningekuwa Rais haki ya nani ningekimbilia hapa kuteua baraza langu la mawaziri!!

Waziri mkuu....Klorokwini...
Waziri wa mambo ya ndani......NN
Jinsia na mambo ya MMU........ADi (Naiibu waziri...Mwali!!!!)
Utamaduni na urembo/mapambo....AD

Ngoja nianzishe uzi kabla memory haijafutika....!!
 
hahahah shosti sikujua ana mke,atanifanya nini kwani na yeye si mwanamke kama mie tu lol,haiwezekani mwanaume mzuri kama huyu akawa na mmoja tu,mie najitolea kuwa wa pili lol

Rebecca naomba uniPM tafadhali
 
Tena bikini ya lace! Unafanya masikhara! Afu anaitanua ukija vaa mwenyewe kama kiwowowo ulipunjwa unakuta inapwaya! Usicheke, tuna kazi nzito na vijana wa siku hizi!
Mzima lakini? Mandela hafi anytime soon, ondoa ile camera yako banaa!

Sorry dada,

Nimesikia kila siku akina dada wanatafuta mume ambaye watasaidiana kila kitu...Huoni huyo atasaidiana na mke wake kuwekeana make up na kutinda nyusi?? Au hiyo kazi haihitaji kusaidiwa??

Naamini mke wake atakuwa ana raha sana kwamba anapata mtu wa kufanyia practicals za kuremba...Finally anaweza kuanzisha biashara ya kuremba hata maharusi na wadogo zake Cameron na kujipatia mshiko...Ujasiriamali huoooo.......!!
 
Haya uliyaweka wapi kwa ajili ya reference...kwenye RAM au diary??

JF huwa inaniacha hoi....Kama ningekuwa Rais haki ya nani ningekimbilia hapa kuteua baraza langu la mawaziri!!

Waziri mkuu....Klorokwini...
Waziri wa mambo ya ndani......NN
Jinsia na mambo ya MMU........ADi (Naiibu waziri...Mwali!!!!)
Utamaduni na urembo/mapambo....AD

Ngoja nianzishe uzi kabla memory haijafutika....!!

Babu huo uzi sintoukosa hahahh
asante Bibi alipenda zawadi yake??
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom