Hivi huyu mama yupo sahihi kulingana na maadili yetu kwa lugha anayotumia?

Mi mama mingne si unajua ni minungaembe, ilikuwa michangudoa ikashindwa huko sasa imekimbilia kuongelea ngono kwenye mitandao, ukiywfuatilia utakuta hata mume halina, sasa Kama hata mume halina ndio litakuwa na maadili? Hilo halina utofauti na machangudoa, yani Hakuna kitu katika maisha Yangu nachukui Kama mtu anaongelea ngono au maumbile au mahusiano pasipo kutumia tafsida inaniuzi mno Na naweza kumkata mtu hata na panga pindi nikiwa nae Halafu anatamka kwenye eneo linaloweza kusikiizwa au kuonwa na kila mtu
 
Umefanya kumtangaza, Sasa tunaelekea YouTube kumuongezea umaarufu.
Haya Mambo mnayosemaga ni kinyume Cha maadili mkiyaongelea ndio mnayapromote hata wale wasiomjua kama mimi tunaelekea YouTube kumuona mama Africa.
lakini sasa hatuna jinsi nyingine ya kukemea inatubidi tukemee kwa uwazi angalau tupunguze kasi ya matendo kama haya
 
lakini sasa hatuna jinsi nyingine ya kukemea inatubidi tukemee kwa uwazi angalau tupunguze kasi ya matendo kama haya
Mmh haya. Lkn haya mambo yatakuwepo tu, teknolojia inakua kwa kasi unachotakiwa kufanya ni kuwalea watoto wako wasizoee mitandao hadi pale watakapo fikisha umri sahihi
 
Bora huyo mama kuna Libaba linaitwa Paul Mwaipopo linatia kinyaaaaa kuongea hayo mambo. Yani chefuuuuuu
 
Kwa mama mwenye maadili huwezi fanya anayofanya ..huyo ni malaya kama malaya wengine tu. Shwain
 
Back
Top Bottom