Hivi huyu Luhende anayetaka kufanya mageuzi UVCCM ni gamba la kundi gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu Luhende anayetaka kufanya mageuzi UVCCM ni gamba la kundi gani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PAMBA1, Oct 28, 2011.

 1. PAMBA1

  PAMBA1 Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kuna huyu kijana nilimsoma kwenye mtanzania ya jumapili anitwa richard luhende eti anakuja kufanya mageuzi uvccm nikawa najiuliza maswali mengi bila majibu huyu kijana alikuwa wapi kufanya hayo mageuzi mpaka aone kumenuka ndo ajitokeze kutaka kufanya mageuzi au tayari naye keshachochewa na magamba wenzake na je anatumiwa na nani huyu gamba tumshugulikie wana jf.
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kumbuka maneno ya Yesu mnazareth"sikuja kuwaokoa wenye haki bali wenye dhambi wapate kutubu" so c ajabu huyo Luhende kuibuka wakati huu wa gharika kubwa kwa ccm kwa madai ya kuiokoa. By the way cmjui kabisa huyo jamaa! achana nao tu!
   
 3. Mh SAMBALA

  Mh SAMBALA Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namjua ni kijana Mzalendo anayeweza kuwaunganisha VIJANA WOTE na kuwa kitu kimoja kwa lendo la kuleta sura mpya katika Chama na Vijana...

  Tumuunge mkono jamani...
   
 4. M

  Mlawa Zahir Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namjua ni kijana mwenye uchungu na taifa lake,,lakini awe makini na mafisadi wasijekumtwaa kwa maslahi yao
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  dah! Kazi anayo. Nalog off
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hakuna mtu mwenye uchungu na taifa hili CCM. Hakuna!
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ahsante sana kaka !!
   
 8. M

  Manyema JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  haogopi polonium...
   
Loading...