Hivi huyu lady gaga, mnamuelewa jamani??

Jan 1, 2011
5
0
FP_6356041_ANG_LadyGaga_Concert1_122210.jpg

____________________________________
FP_6356092_ANG_LadyGaga_Concert1_122210.jpg

_____________________________________
FP_6356042_ANG_LadyGaga_Concert1_122210.jpg

HAPA NI KWENYE BRIT AWARDS, AMBAPO ALIJIACHIA WAZI HADI SEHEMU YAKE NYETI
96761736-450x675.jpg
 
No Such thing as Bad Publicity....... Bora Lady Gaga anafanya hayo kwenye stage wengine wasipotokea kwenye media kwa siku kadhaa wanatembea bila chupi ili wapigwe picha au wengine wanatoa sex tapes zao ili watu wawaongelee....... Si unajua out of sight out of mind... mfano mzuri ni Britney; Katie Price (Jordan), Abi Titmus, Paris Hilton, etc
 
niliwahi kusoma makala moja ikiwa inamzungumzia huyu dada kama ni illuminati/freemasons puppet. Unaweza kuona hiyo glove aliyoivaa mkono wa kulia na pia muonekano wake kwenye hiyo picha ya tatu. Angalia na hizi.

.

<DL class="wp-caption aligncenter" id=attachment_2962 style="WIDTH: 410px"><DT class=wp-caption-dt> <DD class=wp-caption-dd></DD></DL>

<DL class="wp-caption aligncenter" id=attachment_2965 style="WIDTH: 293px"><DT class=wp-caption-dt> <DD class=wp-caption-dd></DD></DL>

niliwahi kusoma makala moja ikiwa inamzungumzia huyu dada kama ni illuminati/freemasons puppet. Unaweza kuona hiyo glove aliyoivaa mkono wa kulia na pia muonekano wake kwenye hiyo picha ya tatu.

Mkuu ukiwa unaamini kila unachokisoma basi muda si mrefu kichwa chako kitajaa hata mambo yasiyo na msingi..
Siku zote mtu akiamua kuwa unique kwenye jamii basi huwa tunamtafsiri tofauti, sijui tuna matatizo gani..
Hiyo ni lifestyle yake aliyojichagulia na wala haihusiani na kitu chochhote wala imani yeyote as long as yeye mwenyewe hajaweka wazi kuwa yuko hivyo.. Manake naona kila mtu maarufu sasa anaitwa mfuasi wa freemasons.......

Ili iweje???????????????????????
 
Unafikiri angevaa sketi na blauzi kama wanawake wengine angekumbukwa na waliomuona? Hizo peculiarities ndio zinamfanya awe unforgettable. Hata wewe umeshaona picha hizi hutamsahau tena. Kumbuka Michael Jackson, Madonna, Prince etc wote walitumia muonekano ili kujipatia umaarufu!
 
mwe ila ana walakini.hata kama ni style....this is extreme!....ngoja tumpelekee vitenge apendeze kha!:A S-rap:
 
Mkuu ukiwa unaamini kila unachokisoma basi muda si mrefu kichwa chako kitajaa hata mambo yasiyo na msingi..
Siku zote mtu akiamua kuwa unique kwenye jamii basi huwa tunamtafsiri tofauti, sijui tuna matatizo gani..
Hiyo ni lifestyle yake aliyojichagulia na wala haihusiani na kitu chochhote wala imani yeyote as long as yeye mwenyewe hajaweka wazi kuwa yuko hivyo.. Manake naona kila mtu maarufu sasa anaitwa mfuasi wa freemasons.......

Ili iweje???????????????????????

Mzee Umesema kweli lakini hujui kwamba mambo yote hapa chini ya Jua yanaanza kwanza kuunganishwa na Imani, unaweza kusema hapana mbona mm siyo lakini believe me kila unachokifanya lazima kiambatane na imani ili unachofanya kiwe na mahali pa kushikilia.... huwezi kwenda Posta bila kupanga kwenda posta, na ramani yote ukaifrem, na duka/ofisi unayoenda ukaiona... ndo hapo unachukua hatua kupanda daladala au kuwasha gari yako, sasa... katika dunia hii kila kitu kina pande mbili, Dice- head and Tail, ubaya na uzuri, mwnaume na mwanamke nk the list is endless But important (Might God Spirit and Evil Spirit) kwa hiyo kila lifestyle unayochagua lazima ibase either side!!

Tafakari tena!!!
 
Come on let's be honest,we both love it dont we!By the way what i dont love about her is her illuminati staff,and i'm having doughts about you,do you support ILLUMINATI??(kiluminati)
 
Miye nahusudu nyimbo zake nyingi lakini behaviour yake sielewi kabisaaaa! Wiki chache zilizopita alikuwa Paris basi akazuka kwenye duka moja kali sana la vidudu/nguo za wanawake na blauzi na chupi tu!!!!!!!
 
Mzee Umesema kweli lakini hujui kwamba mambo yote hapa chini ya Jua yanaanza kwanza kuunganishwa na Imani, unaweza kusema hapana mbona mm siyo lakini believe me kila unachokifanya lazima kiambatane na imani ili unachofanya kiwe na mahali pa kushikilia.... huwezi kwenda Posta bila kupanga kwenda posta, na ramani yote ukaifrem, na duka/ofisi unayoenda ukaiona... ndo hapo unachukua hatua kupanda daladala au kuwasha gari yako, sasa... katika dunia hii kila kitu kina pande mbili, Dice- head and Tail, ubaya na uzuri, mwnaume na mwanamke nk the list is endless But important (Might God Spirit and Evil Spirit) kwa hiyo kila lifestyle unayochagua lazima ibase either side!!

Tafakari tena!!!

Mkuu sina shaka na ulichokisema, ukifuatilia vyema maoni yangu hapo juu utaona kuwa nimejaribu kumweleza mdau kuwa tusiwe tunajilazimisha kuamini kuwa mtu ana-belong kwenye imani fulani wakati huyo mtu hajaweka wazi kuhusu hilo. Kwa mantiki hiyo basi, hii tabia iliyozuka ya kujadili watu maarufu kama wafuasi wa Freemasons sidhani kama inatupeleka popote....
 
come on let's be honest,we both love it dont we!by the way what i dont love about her is her illuminati staff,and i'm having doughts about you,do you support illuminati??(kiluminati)

good guy u see above, killuminati is banned,
but just to help you [killuminati = kill illuminati] so it means he/she is against illuminati, find you will know more..
 
Mimi sijaona cha ajabu zaidi ya kwamba anataka awe unique kwa staili yake kama enzi za Madonna - the material girl
 
Back
Top Bottom