Nadhani ana nia njema. Kama ana nia ya kumshika (ili kumfuga???) hawezi kumshika maana kucha za paka hapo hawezi kizihimili!
Sasa hayo maziwa anayowamwagia hapo yoye si yatanyonywa na mchanga hatimaye hao paka hawatoambulia kitu!!Ana nia njema...nimeipenda hii picha
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sasa hayo maziwa anayowamwagia hapo yoye si yatanyonywa na mchanga hatimaye hao paka hawatoambulia kitu!!