Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

kwa familia zetu hiz ni balaa;kuna siku naambiwa hvy nikazuuuga weeee,na ww pia
manzi kafura aahh niambie uko na nan mpk unashindwa kuongea?,uko kwa dem wako eehh???

Hukuona ulichokosea?? Ati na wewe pia!! Jibu gani hilo?? Hata kama speaker ilikuwa loud. Namjibu kwa sauti nyororo kabisa; Me too my love. Kwani hayo maneno I love yu ni matusi??
 
Alinichukia ila hakuniambia akawaambia rafiki zake ndio wakaniambia..
Mara ya pili tukakutania mlangoni mwa Guest yy anatoka mm naingia kidogo nifwee hapo hapo
duu! jamaa noma sana mara nyingi wazee wakiwa wakali sana watoto huwa na mbinu mbadala
 
Nashukuru kwako pia...kama na muona mama anakata jicho kama spika ya simu mbovu sauti ina skika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom