Thefirstborn
JF-Expert Member
- Feb 20, 2021
- 241
- 184
Mzee wa chabo🤣🤣🤣🤣Baba hebu nielekeze unapokaa. Kama ni mkoa mmoja nije hapo nile deo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa chabo🤣🤣🤣🤣Baba hebu nielekeze unapokaa. Kama ni mkoa mmoja nije hapo nile deo.
Miguno...Na wewe ingiza mwanamke wako mtoe miguno mkuu kwa nini unateseka hivyo ili viumane sawa
Eeenh mwalimu wangu wa kiswahili au nimekoseaMiguno...
Hayo ni mahaba...Eeenh mwalimu wangu wa kiswahili au nimekosea
Wala hata usiumie wala nini anaibiwa mtu hapo aache angalau hela ya miguu ya kuku asubuhi na chapati 2,.
Yule dem wako yupo wap sion signature yake au tayar mshaachana Kama kawaida yenuPole sana...
Siku nyingine uwaulize kama wanasikia utamu kweli...
Wadau naomba msaada juu ya hili, maana kuna madada wengine wakiwa kwenye game huwa ni kero. Yaani unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake, huyu katoka shamba, gulioni, kwenye biashara nk. halafu unakuta usiku muda wa kulala ukifika usumbufu unaanza miguno na milio ya kila aina inasikika mpaka inakuwa kero.
Sasa huwa ni utamu au mbwembwe tu?
04:02....20 minutes ago ,na wew wapigie kelele
Baba hebu nielekeze unapokaa. Kama ni mkoa mmoja nije hapo nile deo.
Panga meza alafu panda juu wachungulie ukiweza angukia walipo tu
Dada olewa upunguze genyeWadau naomba msaada juu ya hili, maana kuna madada wengine wakiwa kwenye game huwa ni kero. Yaani unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake, huyu katoka shamba, gulioni, kwenye biashara nk. halafu unakuta usiku muda wa kulala ukifika usumbufu unaanza miguno na milio ya kila aina inasikika mpaka inakuwa kero.
Sasa huwa ni utamu au mbwembwe tu?