Hivi huwa ni utamu kweli?

Kimbia bafuni na sabuni na maji nusu ndoo haraka ili mwende sawa au jifunike gubigubi na mafuta
 
Raha ya mapenzi aipate anaye sikia ukute wew ndo ulihis utamu kuliko wenzio maisha yanaenda kwa kas Sana,tutafute pesa tu
 
Enzi zangu kwenye ma Lodge.
Sitosahau siku niliyokua kwenye kazi alafu mwanamke niliyekua nae akawa anatoa miguno na sauti za kupitiliza.

Muhudumu wa ile Lodge alikuja kugonga mlango...akaogopa kusema tuna kelele instead akaomba remote ya a
AC maana ile Lodge ni full air conditioning...tukaacha tukampa..ikawa ngumu kurudi kwenye ile moment tuliyokuwepo.

Nilikuja kuelewa ile ilikua mbinu ya ki utu uzima ya kusema "acheni kelele".
 
Nakumbuka nilivyokuwa kijana nilipelekwa mkoa mwingine kikazi. Nilipofika ule mkoa, fasta nikatafuta chumba nikapanga badala ya kulala guest.

Chumba cha jirani yangu alikuwepo amepanga jamaa na wife wake japo walikuwa wanasafirisafiri.Tatizo wakiwepo, mke wa jamaa alikuwa anatoa miguno mpaka naisikia. Nilikuwa napata shida kwa kweli.

Uzuri ni kwamba miguno ilikuwa inachukua kama dakika mbili tu inakata. Maana yake ni kwamba jamaa alikuwa na mapafu madogo.

Uwe mwangalifu mke wako anapopiga kelele na huku wewe huna mapafu ya mbwa. Anakuwa anakuchoresha kwa watu.
 
Enzi za chuo nilipeleka moto mpka floo nzima ikasikia hapo nilikuwa nimewapiga wana exile


Hadi janitor akashtuka akajua kuna tatizo akaja kugonga mlango ilikuwa ni aibu kesho yake nikaama hio hosteli maana nilikuwa nimebebwa sina sehemu rasmi
 
Wadau naomba msaada juu ya hili, maana kuna madada wengine wakiwa kwenye game huwa ni kero. Yaani unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake, huyu katoka shamba, gulioni, kwenye biashara nk. halafu unakuta usiku muda wa kulala ukifika usumbufu unaanza miguno na milio ya kila aina inasikika mpaka inakuwa kero.

Sasa huwa ni utamu au mbwembwe tu?
 
Wadau naomba msaada juu ya hili, maana kuna madada wengine wakiwa kwenye game huwa ni kero. Yaani unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake, huyu katoka shamba, gulioni, kwenye biashara nk. halafu unakuta usiku muda wa kulala ukifika usumbufu unaanza miguno na milio ya kila aina inasikika mpaka inakuwa kero.

Sasa huwa ni utamu au mbwembwe tu?
Dada olewa upunguze genye
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom