Mwaamkaje humu?
Jamani naombeni kuuliza hivi kwanini usingizi wa alfajili ni mtam hivi? au masaa haya shetani ndo huwa naye kaamka?
Maana haiwezekani usiku kucha nasaka usingizi sipati, napata wa mang'am ng'am lakini punde inapokaribia mida ya kuamka kwa ajili ya ibaada na sala za asbuh/swala kwa waislam au kuwahi kazini hapa ndipo huja usingizi mtamu balaa hadi hunichelewesha!
Yaani nakereka ila cjui nifanyeje maana hata nikiweka alarm huwa naisukumia mbali kwa utam wa usingizi wa alfajili, na nadhan pia wezi nao huiba mida hii, naomben mwenye tiba ya hii, na je ni kwann usingizi wa namna hii huja alfajiri/asbuh?
Yeyote anayejua siri ya usingizi wa asubuhi atujuze maana mi naona kama ni usingizi wa kupinga maendeleo kiuchumi na kiimani.