Hivi huu ulikuwa ushirikina au mazingaombwe?

Tukio hili lilitokea Mombasa Kenya miaka 7 iliyopita...
Asubuhi moja mama mmoja muuza supu mtaani akiwa kainjika sufuria lake la supu ya nyama upenuni ikiendelea kuchemka, mara ghafla lilitokea kundi la nyuki na kuzingira sufuria la supu na kuanza kufyonza supu ya moto
Hili halikuwa tukio la kawaida kwakuwa kwanza nyuki hawapatani na moshi na moto..lakini vilevile vile vyuki hawapatani na chumvi..ni nyuki wa kishirikina pekee ndio wanaweza kutumia hivyo vitu

Kijana mmoja barobaro maarufu sana pale kitaa akajitoa woga na kutafuta ndimu...ili atest uhalisia wa wale nyuki...kama wangeikimbia ndimu basi hakuna shida lakini kama wangekula ndimu basi hapo kulikuwa na shida kwakuwa nyuki na ugwadu ni vitu viwili tofauti kabisa

Kwa mshangao wa wengi nyuki waliokuwa wamezingira sufuria la supu inayochemka na kufyonza kwa raha zao ...ghafla walihamia kwenye vipande vya ndimu iliyoletwa na bwana Erik yule kijana barobaro... Mama muuza supu alikasirika sana japo alikana kuwajua nyuki hao na asili yake

Taharuki ilianza pale baada ya masaa machache bwana Erik kuanza kuugua ugonjwa wa ajabu huku kende na uume vikiwa vimevimba hasa...
Majirani walijaribu tiba ya kila aina ikiwemo maombi nk lakini Erik alifariki kabla ya kutimiza masaa 24

Swali langu la msingi ni kuwa je Ushirikina ni nini hasa ?

Pili, ukimsikiliza mtangazaji hapo mwanzo kabisa ana hoji je ni Ushirikina au Uchawi ? Tunasema hivi "Kila Uchawi ni Ushirikina lakini si kila Ushirikina ni Uchawi".
 
daah, dunia ina mengi mkuu. nakumbuka nikiwa mdogo amewahi kuja mgeni nyumbani akawa hali chakula anakwenda kuwinda panya na kuwala wakiwa wabichi. Nilivyogundua niligoma kulala nae chumbani kwangu cha ajabu nilikuwa nikilala nashtuka yupo kanasa ukutan kama nge mulemule chumbani.
 
Yeah kama ni huko sibishi kuna mchungaji mmoja mkewe kazi yake ilikuwa moja tu..kulawitiwa na vijana mtaani..kumbe zile manii zilikuwa na kazi maalum kanisani kwao
Mshana Mshana Mshana nimekuita mara tatu hayo usemayo ni ya kweli??
 
Ndiyo maana kila kukicha magonjwa yasio julikana
Unazidi sasa, kwani wapi magonjwa yasiyojulikana hakuna?

Hayajulikani sababu hatuna teknolojia nzuri

Corona haijajulikana na wazungu pamoja na sayansi yao
 
daah, dunia ina mengi mkuu. nakumbuka nikiwa mdogo amewahi kuja mgeni nyumbani akawa hali chakula anakwenda kuwinda panya na kuwala wakiwa wabichi. Nilivyogundua niligoma kulala nae chumbani kwangu cha ajabu nilikuwa nikilala nashtuka yupo kanasa ukutan kama nge mulemule chumbani.
Duh
 
Swali langu la msingi ni kuwa je Ushirikina ni nini hasa ?

Pili, ukimsikiliza mtangazaji hapo mwanzo kabisa ana hoji je ni Ushirikina au Uchawi ? Tunasema hivi "Kila Uchawi ni Ushirikina lakini si kila Ushirikina ni Uchawi".
Huu msemo ufanye kinyume ndio sahihi
 
daah, dunia ina mengi mkuu. nakumbuka nikiwa mdogo amewahi kuja mgeni nyumbani akawa hali chakula anakwenda kuwinda panya na kuwala wakiwa wabichi. Nilivyogundua niligoma kulala nae chumbani kwangu cha ajabu nilikuwa nikilala nashtuka yupo kanasa ukutan kama nge mulemule chumbani.
Hallucinations
 
Kinyume chake ni "Kila ushirikina ni uchawi lakini sio kila uchawi ni ushirikina"

Kwa maana kwamba kila ushirikina (uhalifu katika taaluma ya uchawi) unatumia mbinu za uchawi, lakini sio kila uchawi(taaluma unayoweza kutibia) ni ushirikina(uhalifu)
Nilipo kuambia hii kauli haina kinyume nilimaanisha.

Ngoja nikuulize swali, Uchawi ni nini na Ushirikina ni nini ? Ukipatia katika haya mawili, huwezi kuandika hiki ulicho kiandika.
 
Uchawi ni taaluma ya nguvu za asili, ushirikina ni uhalifu wa kutumia taaluma hii adhimu

Lakini nimekuelewa
Nilipo kuambia hii kauli haina kinyume nilimaanisha.

Ngoja nikuulize swali, Uchawi ni nini na Ushirikina ni nini ? Ukipatia katika haya mawili, huwezi kuandika hiki ulicho kiandika.
 
Kinyume chake ni "Kila ushirikina ni uchawi lakini sio kila uchawi ni ushirikina"

Kwa maana kwamba kila ushirikina (uhalifu katika taaluma ya uchawi) unatumia mbinu za uchawi, lakini sio kila uchawi(taaluma unayoweza kutibia) ni ushirikina(uhalifu)
Mkuu tusaidie hapo ,uchawi na ushirikina tofauti
Huo ufafanuzi hapo juu umetosha kabisa
 
  • Thanks
Reactions: T11

Similar Discussions

Back
Top Bottom