Hivi huu ulikuwa ushirikina au mazingaombwe?

daah, dunia ina mengi mkuu. nakumbuka nikiwa mdogo amewahi kuja mgeni nyumbani akawa hali chakula anakwenda kuwinda panya na kuwala wakiwa wabichi. Nilivyogundua niligoma kulala nae chumbani kwangu cha ajabu nilikuwa nikilala nashtuka yupo kanasa ukutan kama nge mulemule chumbani.
Haaaaaa......hii ni kamba ya katani
 
Kwahiyo hakuna madawa wala uchawi ? Maana unakuta anatoa pesa mikononi wakati hana au anatoa sungura au njiwa wakati hakuwepo...nini huwa kinafanyika?
Ndio ushirikina ni halisi mazingaombwe ni viini macho sio halisi...yaani ni janja janja
 
Kwahiyo hakuna madawa wala uchawi ? Maana unakuta anatoa pesa mikononi wakati hana au anatoa sungura au njiwa wakati hakuwepo...nini huwa kinafanyika?
Hamuna uchawi pale ndio maana ile pesa ina eneo na kikomo cha matumizi na hata wale wanyama huwezi kupewa ukawafuge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom