Hivi huu ni ukweli jamani ....?

mbona mim takwimu nilizonazo asilimia 80 ya wanawake wanalala pia, sasa hapo vip? can i have source of your information na surveyd method iliyotumika hapo kwako:yield:
 
UTALALAJE WAKATI WA TENDO LA NDOA ?:nono::nono::nono::nono::nono:

duuuhh swali gumu???
lakini labda kama magoli yanaingia haraka... unaingiza goli la kwanza goli lapili umesha anza kusinzia latatu huwezi kufunga.. si maanishi wewe ila wote kwa ujumla... just a suggestion
 
Mimi nikipiga goli la kwanza kiwango kinapanda nikienda la pili ndio kinazidi nikienda la tatu mashambulizi yanaongezeka na watu wanashangilia kama hawana akili nzuri
 
Ukilala wakati huo wa tendo la ndoa au ukiwa katikati ya shuguli na mpingo upo ndani inabidi mwenzi wako akutoe kifuani au atasubiri mpaka uamke.
 
mmmmmmmhhhhhhhhhh bwana kwa hiyo unataka kusema unagolikiper mtaalam (mtaalam).......
kwa sababu kama una uwezo wakufunga magoli kiasi hicho
nasubiria kukuona ukichezea arsenal au livepoll.. hahah lol
nway wewe tutakuondoa kwenye hilo group la 48%..
 
Ukilala wakati huo wa tendo la ndoa au ukiwa katikati ya shuguli na mpingo upo ndani inabidi mwenzi wako akutoe kifuani au atasubiri mpaka uamke.

hahahahahahah lol
mmmmmmmmhhhhhhh kusubiria tena ..
yaani unataka kusema unataka refarii asimamishe mchezo na umebaki dakika 5 tu uwanjani??
 
Unajua dakika tano unaweza kutoka uwanjani umefunga mabao mawili hadi wapinzani wakabaki hawaamini macho yao
 
Hatari hiyo. Utalalaje wakati wa Manjonjo? Mgonjwa basi au mlevi. Hao wamuone Daktari ili wachunguzwe afya zao.
 
duuuuhh hii mpya lakini sithani kama golikeeper atafuahi kabisa... kwa sababu yeye anataka kuona game kidogo kabla ya magoli...
washabiki watafurahi lakini wamelipa hela kuona game pia hahahah lol
 
Hatari hiyo. Utalalaje wakati wa Manjonjo? Mgonjwa basi au mlevi. Hao wamuone Daktari ili wachunguzwe afya zao.

hahahahah lol labda hizi study zao(48%) zilifanyiwa huko majuu tu .... labda huku kwa wajana ni tofauti kidogo...
********maana nasikia siri kuu ya wajanja iko kwenye ugali*********lol
 
You may be right :doh: tuna uchapa ai see, ila baada ya kufunga
 
mmmhhhh baada ya kufunga magoli mnaruhusiwa
ila tatizo ni pale unapolala wakati bado uko uwanjani nasio mapumziko na game bado haijaisha ..
 
Kama ni kabla ya goli huyo hakuwa tayari kwa game alikubali ili asionekane mmbinafsi
 
Back
Top Bottom