Hivi huu mpangilio wa Marais wetu ni mpango wa Mungu, Shetani, Dini, Freemasonry, CCM, Kitengo, Waganga au ni Coincidence tu?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,567
15,295
JK Nyerere - Rais Mkali
Alhaj Hassan Mwinyi - Rais Mpole
Benjamin William Mkapa - Rais Mkali
Jakaya Mrisho Kikwete - Rais Mpole
John Pombe Magufuli - Rais Mkali

Kama mtiririko huu ni sahihi Basi ajaye atakuwa MPOLE.

Je, haya yanatokea bahati mbaya au ni mipango ya watu au mimi ndio nimelewa kahawa hapa kijiweni kwangu?
 
lazima hata kama anayefuata angekuwa mkali kwa dizaiiiniiii hii lazimaa awe mpolee .lakini ninavomjua MH B C M automatically hata sisi tutakuwa wapole
hahahaha
huyo anapitia wapi mkuu wakati kila kona anabanwa. Bora angekaa kimya akapiga counterattack.
awe BCM au yoyote kwa mujibu wa mtiririko wa huyo mpanga marais inabidi awe mpole tu.
 
Malais ndio nini?
mkuu nimeshasema tuvumiliane.
sisi kwetu hatuna neno Rais tuna neno Laisi. Na mimi naliunga mkono maana hata ndimi zetu zimekuwa configured kutamka neno lais sio rais. Hivyo hata Mungu anatujua mkuu.
Ikiwa sio sahihi Mods wafanye yao, na kufuta haya mahojiano nje ya mada
 
hahahaha
huyo anapitia wapi mkuu wakati kila kona anabanwa. Bora angekaa kimya akapiga counterattack.
awe BCM au yoyote kwa mujibu wa mtiririko wa huyo mpanga marais inabidi awe mpole tu.
mkuu kwaniii kalee kapambioo ketuu kashasahurikaa? tunaaaa imaniiii na B C M oyaaaaaa oyaaaaaaa oyaaaaaaaaaaaaaaaaah ....

wazee tunasemaaa lazima kijanaa atayashinda majaribu
 
BCM hana lolote mchonganishi sana nusura atuingize vitani ….leo umpe nchi duuuuuu...aendelee na hoteli zake Mtwara apumzike kwa Amani katikla ustaafu wake
 
mkuu kwaniii kalee kapambioo ketuu kashasahurikaa? tunaaaa imaniiii na B C M oyaaaaaa oyaaaaaaa oyaaaaaaaaaaaaaaaaah ....

wazee tunasemaaa lazima kijanaa atayashinda majaribu
hahahahaa
tatizo yeye na wazee wake naona kila wakikukuruka wanakula za uso.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
ujueee mzee mwenzangu kuna kupima upepo ,wanvopimaa wanapata pa kuanziaa sasa ngojaa tunasema ngomaa badoo mbichiiiiiiii
tuombe amani.
ila uziefu unaonyesha wale wanaoutaka urais kwa hali na mali kwa wazi au sirini huwa hawaupati.
labda yupo mpole mwingine atatokwa kusiko julikana
 
  • Thanks
Reactions: Lee
tuombe amani.
ila uziefu unaonyesha wale wanaoutaka urais kwa hali na mali kwa wazi au sirini huwa hawaupati.
labda yupo mpole mwingine atatokwa kusiko julikana
hapooo nakupingaaaa kwa nguvuu zotee wpiii amesemaaa anautakaaa sisi ndo tunataka tumtunukuu
 
JK Nyerere - Rais Mkali
Alhaj Hassan Mwinyi - Rais Mpole
Benjamin William Mkapa - Rais Mkali
Jakaya Mrisho Kikwete - Rais Mpole
John Pombe Magufuli - Rais Mkali

Kama mtiririko huu ni sahihi Basi ajaye atakuwa MPOLE.

Je haya yanatokea bahati mbaya au ni mipango ya watu au mimi ndio nimelewa kahawa hapa kijiweni kwangu?
Malais ndio nini? punguani wewe!
 
Hivi huu mpangilio wa Malais wetu ni mpango wa Mungu,Shetani, Dini, Freemasonry, CCM, Kitengo, Waganga au ni Coincidence tu

mkuu hii kazi nimwapa Mods labda kama bado hawajaajiliwa wa kutosha.
ila mimi '' Malais'' niko sahihi kwa mujibu wa lugha rasmi ya kiswahili cha kijijini kwangu.
nikiswitch kūja cha mjini '' marais'' napo ni sahihi mkuu.

unihurumie tu, ila mimi huwa naona fahari kutumia zote kadili nipendavyo.
 
hapooo nakupingaaaa kwa nguvuu zotee wpiii amesemaaa anautakaaa sisi ndo tunataka tumtunukuu
namimi nakupingaaa
nyie wakina nani mkuu. mbona sijawahi kuwasikia mkisema mnataka kumpa huyo mdau huo ulaji
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom