Hivi huu Mkogo wa Serikali ndiyo nini? Je una manufaa gani kwa walala hoi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huu Mkogo wa Serikali ndiyo nini? Je una manufaa gani kwa walala hoi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mchokozi, Feb 9, 2012.

 1. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau nisaidieni
   
 2. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,198
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Mkogo=mkongo kwa ma2mizi ya internet.
   
 3. r

  ruzinga Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  ni mfumo wa mawasiliano ya intaneti ambao nyaya zake zinapita bahari mawasiliano yake ni ya haraka na nafuu kwa watumiaji
   
 4. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huo unafuu wa huduma ya intanet mpaka sasa sijauona,huduma zipo juu sana ni kama hazipo kwa watu wa kawaida,haiwezekani moderm unaweka buku halafu huwezi hata tudowload page moja
   
 5. j

  johnn Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I stand to be corrected, mimi naufahamu mkongo wa taifa kama ifuatavyo;

  Ni njia kuu (HIGH WAY) ya wa mawasiliano ya data na sauti/voice kupitia optic fibre cables (nyaya maalumu za plastic ambazo zinasafirisha mawimbi kwa speed, ujazo mkubwa na kwa gharama nafuu).

  Njia hii inawezesha mawasiliano ya ndani ya nchi na nje ya nchi.

  Ndani ya nchi:
  Sasa badala ya kutumia madishi na minara kusafirisha mawimbi kutoka sehemu moja mpaka nyingine, unaweza kutumia mkongo huu wa Taifa..........madishi na minara ni gharama kubwa kununua na kumeneji lakini kupitia mkongo wa taifa ni nafuu zaidi.

  Nnje ya nchi:
  Huu mkongo wa taifa umeunganishwa kwenye mkongo wa baharini ambao na wenyewe ni kama huu isipokua wenyewe umepita baharini, ukiunganisha nchi zote duniani zilizopakana na bahari.
  Zamani mawasiliano ya nje ya nchi yalikua yanafanyika kupitia satelite = ambayo ni gharama kubwa, ila sasa mkongo wa taifa unatu-unganisha na dunia kupitia mkongo wa baharini ambao ni nafuu.

  Mkongo wa Taifa (NICTBB) ni mali ya serikali ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ila unasimamiwa na kundeshwa na kampuni ya simu ya TTCL.

  Mkongo wa baharini unamilikiwa na kuendeshwa na kampuni ya SEACOM na ESSy.

  Faida za mkongo wa Taifa:
  Kuwezesha telemedicine, e-education, e-government n.k kwa gharama nafuu.
   
Loading...