Hivi huu mchoro wa nyoka hapa maana yake nini

TANZANIAN NINJA

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
441
496
20191014_072845.jpg
 
Ukisoma biblia kuna mahali waisraeli walimuasi Mungu wakashushiwa nyoka waliumwa wengi wakafa, ilibidi Musa apewe maagizo na Mungu atengeneze nyoka wa shaba ambaye alitakiwa amtundike kwenye mti. Walioumwa waliambiwa wamuangalie watapona na kweli walipona . Pia kifo cha Yesu msalabani ni kama nyoka wa shaba (waislamu na imani zingine hawakubaliani na hili). Kwa hiyo, hiyo alama inatumika dunia nzima katika kuonesha uponyaji wa afya za awatu upo kwenye logo nyingi za wanaohusika na huduma za afya kama WHO,MNH n.k.
 
Sawa hapo nimeelewa lakini mbona ipo kwenye taasisi ya serikali pia nimewahi iona kwenye noti ya miatano.
Kwani serikali yetu ni ya dini moja tu?
 
Hapo ukija kwa upande wa dini jua basi nyoka ni yule wa shaba ila ukija kwa njia ya pili hizo ni nembo za shetani kwani hawa alidanganywe na nyoka (shetani)
 
Wala nyoka mdudu si tatizo, tatizo ni je unafahamu Kama nyoka ni kielelezo cha uhai? Hapo ni wewe mwenyewe sasa
 
Back
Top Bottom