Hivi huku ni kujifanya mbishi, wenda wazimu au ni kutojua kusoma?

Nadhani ni nyumbani kwake. Yeye anaamri ya kukaa au kuto kaa. Ila mtu mwingine aruhusiwi kukaa
 
alie andika hapo..ange weka na miba kwa juu...kama vipi ange pakaa rami...

Upo UKUTA ULIANDIKWA NI MARUFUKU KUANDIKA AU KUCHORA UKUTA HUU

Yupo JAMAA ALIPITA AKA ANDIKA MBONA WEWE UME ANDIKA...???
 
Hahahahaaaaaaaaa huyo alimpatia haswaaa
 
Jinsi alivyokaa inaonyesha katokea upande wake wa kushoto na maandishi yako upande wake wa kulia, hakuyaona....
 
Kama mimi wakili wake ningesema hawajasema mamlaka gani iliyotoa amri hiyo, wala hawajaonyesha vizuri eneo husika.
 
Lakini itategemea pia kama ni private property au public property.

Point iko pale pale, hawajasema kwa amri ya halmashauri ya jiji a ya mwenye nyumba.

Huwezi kuona maandishi na kuyapa uzito tu bila hata kujua yana claim kutoka wapi, ama sivyo Chite Spy angeweza kuzunguka vibaraza vyote vya jiji na kukataza watu kukaa.

Halafu hata hapo "hapa" pana utata.
 
Kama ni nyumba ya mtu kuna ulazima wa kuweka bayana ni kwa amri ya nani?
 
Of course, mimi nitajuaje nika verify wapi? Nitajuaje kama ni watoto wa kihuni tu wameandika ili wawe na monopoly ya kukaa hapo au ni kwa amri ya jiji au mwenye nyumba?
 
Kwani huoni kuwa hilo jiwe/ tofali lipo karibu na nyumba ya mtu? Huoni kuwa ni trespass?
 
alie andika hapo..ange weka na miba kwa juu...kama vipi ange pakaa rami...

Upo UKUTA ULIANDIKWA NI MARUFUKU KUANDIKA AU KUCHORA UKUTA HUU

Yupo JAMAA ALIPITA AKA ANDIKA MBONA WEWE UME ANDIKA...???
hahahahahha uwiiiii nimecheka mmmmmh
 
Hairuhusiwi kukaa usawa wa huo mshale uliochorwa....yeye yupo sahihi kwani kaketi pembeni ya mshale!:)
 
alie andika hapo..ange weka na miba kwa juu...kama vipi ange pakaa rami...

Upo UKUTA ULIANDIKWA NI MARUFUKU KUANDIKA AU KUCHORA UKUTA HUU

Yupo JAMAA ALIPITA AKA ANDIKA MBONA WEWE UME ANDIKA...???

kweli kabisa,
maana ukiandika usikae hapa,maana banafaa kukaliwa,ndo maana mtu anakaa.La msingi pafanye pasifae kukalika.

Au mtu mwingine anakwambia,"usipite hapa,hakuna njia" maana yeke panapitika....pafanye pasipitike...ili mabo yawe rahisi.
 
kaazi kweli kweli...
 
kuna mawili hapo, hiyo message anayosoma either kimwana kampiga chini au inamtaarifu kuwa jamaa aliyekuwa anadeni lake ame rest in peace!! (RIP)
 
Back
Top Bottom