Hivi huku ni kujifanya mbishi, wenda wazimu au ni kutojua kusoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huku ni kujifanya mbishi, wenda wazimu au ni kutojua kusoma?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pape, Jan 19, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,043
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kuona haoni kuskia haskii
   
 3. Jeni

  Jeni Senior Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anaona, Anasikia na anajua kusoma ndio maana anatuma text kwa cm, huo ni WENDA WAZIMU
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  mmmmh huyo jama sio mzima...
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hivi mtu kama huyo akishitakiwa atasema ameonewa?
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Bongo tumezoea kuvunja sheria ndo maana jamaa anaona haina uzito, anakaa tuu. Mbona dala dala zimeandikwa pale Kimara - Posta lkn mtu anaenda mlangoni anamuuliza konda WAPI HIYO, konda bila siri wala nini kwa sauti ya juu anatia KIMARA POSTA HIYOOO, BONGO tambalale bana
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahaha.....
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Chimu hahaaaaaa am dying here!!!!!!
  Bongo rahaaa jamani!!!!
  usikoje hapa ndo kama umewaambia kojoeni hapa hapa !!!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,308
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  jamani hii picha nimecheeeeeeeeeeeeeeka mwenzenu hahahahah
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,308
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kuna vitu vinachekesha bht
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 0
  jamani nyie ndy hamna akili!!!....nyie mnaona amekaa sehemu waliyosema hairuhusiwi? amekaa juu wa msingi, siyo juu ya maandishi. MWE
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  sasa kweli hapo huyu mwenzetu tumweleweje

  deaf, blind and illiterate au ndo tuseme sheria zimewekwa ili zivunjwe??
   
 13. I

  Irizar JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Njaa inamuuma na matatizo kibao, anasoma ila haelewi
   
 14. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kutafuta attention; hamjui siku hizi kuna 'JF Reality Show'?

  Basi subirini mtaona mengi ya kujitungia katika Orijino Komedi style kila mahala nchini.

  Kwa wenzetu kuna mzee sasa anatumikia kifungo (ingawa anaendelea kukana) kwa kubumba tukio mbele ya Polisi na vyombo vya habari eti mtoto alikuwa katika hatari ya maisha ndani ya balloon lililokuwa tupu.
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,530
  Likes Received: 9,951
  Trophy Points: 280
  Hatumi text anacheza gemu
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,662
  Likes Received: 5,835
  Trophy Points: 280
  Labda alitokea the other side of the warning!!!
   
 17. bona

  bona JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,793
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  this shows y this country will never develop too many stupid pipo
   
 18. M

  MalaikaMweupe Member

  #18
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hahaaahaaaa!
  Ukitaka kujua zaidi,mwulize kwanini umekaa hapa.... halafu tutumie majibu!
  <input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
   
 19. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Anazo akili timamu hayo maandiko yangekuwa kwa mahali alipoketi ingekuwa ni sahihi ila yapo ubavuni ambapo hata huyo aliyeandika sidhani kama anaweza kukaa hapo.
   
 20. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  huyo jamaa namfahamu
  huyo jamaa ana ulemavu wa miguu pia akili zake kama hazijakamilika
  sina uwakika kama anajua kusoma au laa
   
Loading...