Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,524
Nafasi za kazi zilizotangazwa May 28,2012 pamoja June baadhi ya hizo mpaka sasa hawajaita waombaji kwenye usili. Swali:Kwanini hawa jamaa wanatangaza nafasi za kazi kabla hawajajipanga? Tunatakiwa kuonesha kukerwa na tabia za kijuha hizi, yaani tunapelekwa tu na akili zao, huu ni ujinga. Kama mpo wahusika humu acheni upumbumbavu maana ni mbaya sana kutumaini jambo halafu na huyo mwenye kutekeleza anakupuuza. Mshindwe kabisa Kwa jina la YESU na tabia za kukomoa watoto wa masikini.
Tusome kwa taabu,halafu mateso mazito kwenye kupata kazi. Ni bora ijulikane hamtangazi kabisa kuliko ujinga huu.
Tusome kwa taabu,halafu mateso mazito kwenye kupata kazi. Ni bora ijulikane hamtangazi kabisa kuliko ujinga huu.