Hivi huduma ya free Internet kwa njia ya VPN inafanya kazi kweli?

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
235
225
Naomba msaa ndg zangu nimekuwa nikisikia kuwa unaweza kuaccess free internetbkwa njia ya VPN. Lkn nimjaribu mara kadhaa bila mafanikio. Nikawa najipa Moyo labda kuna sehemu nakosea katika kuunganisha.

Plz mwenye ujuzi wa Kuaccess Free Internet kwa njia ya VPN anijuze maana daa naona maisha magumu sana. Natumia samsung galaxy j7
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,103
2,000
Naomba msaa ndg zangu nimekuwa nikisikia kuwa unaweza kuaccess free internetbkwa njia ya VPN. Lkn nimjaribu mara kadhaa bila mafanikio. Nikawa najipa Moyo labda kuna sehemu nakosea katika kuunganisha. Plz mwenye ujuzi wa Kuaccess Free Internet kwa njia ya VPN anijuze maana daa naona maisha magumu sana. Natumia samsung galaxy j7
Mkuu ukipata solutions please nitag!!!
 
Melvine

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
433
1,000
Naomba msaa ndg zangu nimekuwa nikisikia kuwa unaweza kuaccess free internetbkwa njia ya VPN. Lkn nimjaribu mara kadhaa bila mafanikio. Nikawa najipa Moyo labda kuna sehemu nakosea katika kuunganisha. Plz mwenye ujuzi wa Kuaccess Free Internet kwa njia ya VPN anijuze maana daa naona maisha magumu sana. Natumia samsung galaxy j7
Hapana.!
VPN ni kifupi cha maneno haya...Virtual Private Network.
Hii ina maana, ukishajiunga na internet yako (yaani ukiwa online katika kifaa chako eiza simu au kompyuta) unapata kitu kinachoitwa IP Address ambayo kimsingi inaonesha wapi kifaa chako kimeunganishwa na internet iyo (yaani ina ku'pin point)

Sasa kwa kuweka VPN inakupa address nyingine tofauti yaan kwa mfano VPN yako ni ya USA basi automatically mtu akiangalia upo wapi kwenye kifaa chako ndio itaonesha upo uko USA na si iyo excatly location uliyopo.

Nimefafanua kidogo kwa uelewa wangu, wengine wanakuja watajazia pale nilipoacha na kunikosoa pia inaruhusiwa.

Melvine.!
 
thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,342

Kama hujui kitu kaa kimya
 
jimmymziray

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
807
500
Kama hujui kitu kaa kimya

Wewe ndio hujui kitu, VPN hutumiwa sana na watu wanaotumia wireless za kijamii ambazo nyingi hufungia baadhi ya websites ambazo zipo nje ya maadili ya kijamii au nje wa protocol zao, sasa ikiwa wewe unatumia hizo wireless na unahitaji ku access hizo websites zilizofungiwa utahitajika u download VPN ili uweze kutumia bila shida, pia kwa wale wanaokosoa kupitia mitandao kwa kutumia fake identities ili wasigundulike walipo huwa wanatumia VPN ili kufake IP adress zao

Wengine wanadai kuwa VPN inaficha uhalisia wa idadi ya MB unazotumia kwa maana inakata mawasiliano kati ya subscribers wa mtandao na watoa huduma za mtandao either through wireless au broadbands lakini hii kitu ishapatiwa ufumbuzi muda tu
 
STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
235
225
Kwa hyo ndg zangu tunaweza kupata huduma ya internet kwa free au hata gharama nafuu. Maana naona mimi natumia gb mpka 3 kwa siku na gharama kiuhalisia ni kubwa sana kama mnavyojua mitandao ya kitanzania ilivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom