Hivi huchukua muda gani mtu kupona baada ya kupigwa stroke?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Waungwana Salam.

Kwa wanaojua je ugonjwa wa stroke na kupooza unatibika? Na Kama jibu ni ndiyo huchukua muda gani mtu kupona baada ya kupigwa stroke?
 
Inawezekana kurecover, Japo ziko factors zinazoweza kuathiri utaratibu mzima wa recovery, kwanza Severity ya Stroke yenyewe, Physical ability ya mtu kabla ya kupatwa stroke, Age, Stress, Modification ya mazingira, Mazoezi na Family support.

Mazoezi ni muhimu sana kuyazingatia kwa nguvu kwa muda wa miezi 4-6. Katika kipindi hicho endapo atatoa ushirikiano mzuri katika Mazoezi ya utengemao (Rehabilitative Services) kutakuwa na mwanga unaoonyesha maendeleo yake. Wengi wanaozingatia rehabilitation katika kipindi hicho utakuta walau mgonjwa keshaweza kutembea walau mwenyewe au kwa Support ndogo kama Fimbo au walking frame.

Mazoezi yanatakiwa kuendelea kwa muda mrefu kidogo mpaka pale mtaalamu atakapoona kuwa hakuna improvement zaidi, Wengi wanarecover to the state ambazo wanaweza kujitegemea..japo wachache wanaweza kurecover to 98%.

Factors nilizozitaja hapi juu ndio zinaweza kuathiri Prognosis ya mgonjwa...! So kwa mara ya kwanza tu mtaalamu anapomuona mgonjwa anaweza kupredict prognosis yake.
 
Ukipata mganga mzuri anayejua mitishamba vizuri na kuchua kwa dawa za porini. Wiki tu mtu anakuwa safi kabisa. Ila inabidi awahi mno. Pia inategemea na ukali wa stroke.
 
Ya kwanza kama unawahi matibabu ya kitaalam unaweza kupona ndani ya miezi mitatu hadi sita ila ikiwa bahati mbaya ukapigwa na second wave kabla hujapona vizuri kwa hofu na mashaka hutawala. Ni ushuhuda baada ya kuuguza ndugu
 
Naomba symptoms zake mkuu na je huumaje?
Ya kwanza kama unawahi matibabu ya kitaalam unaweza kupona ndani ya miezi mitatu hadi sita ila ikiwa bahati mbaya ukapigwa na second wave kabla hujapona vizuri kwa hofu na mashaka hutawala.... Ni ushuhuda baada ya kuuguza ndugu
 
Waungwana Salam.

Kwa wanaojua je ugonjwa wa stroke na kupooza unatibika? Na Kama jibu ni ndiyo huchukua muda gani mtu kupona baada ya kupigwa stroke?
Mimi ninatibu Ugonjwa wa Stroke aka kupooza upande mmoja kwa muda wa miezi 6 utakuwa umekwisha kupona ukiwa una mgonjwa mwenye maradhi hayo ya kiharusi aka Stroke nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake.
 
Yaani unatibu kila ugonjwa
 
Waungwana Salam.

Kwa wanaojua je ugonjwa wa stroke na kupooza unatibika? Na Kama jibu ni ndiyo huchukua muda gani mtu kupona baada ya kupigwa stroke?
Inategemea na
kuwahi tiba
Mazoezi ya kutosha kwa viungo vilivyo athirika
Kuchuliwa kwa mafuta sahihi
Kubadili mfumo wa ulaji
 
Back
Top Bottom