Hivi hizi unawekeza sijui wanyama au kilimo ndo njia ya DESI

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,852
2,000
Nakumbuka kipindi cha kupanda mbengu na kuvuna miaka hile.
Watu walibaki na vilio na wengine sijui ilikuwaje maana kuanza kwake na kuisha kwake sijui!

Kuna tv hapa napenda kuangalia taarifa ya habari na inaweka matangazo sijui vyuo,biashara.

Hila hii tv ishampa jamaa unaweka pesa hana kufugia kuku wewe unaweka pesa yako alafu hana kutafutia soko na unapata faida ukiwa umepozi.

Sasa nimekuja kuona tangazo lengine kuhusu zao la vanila na kulisema kuwa kilo moja sawa na milioni na mada yako kama niliyo sema ya kuku.

Nimebaki kushangaa hizi staili
 
Dada D

Member
Sep 30, 2019
58
125
Nami nimeliona Vanilla kg 1 ni Tsh.1,000,000/= wanahitaji uwekeze
Nikaona na kusikia tena wanakupa shamba bure sijui ndio haohao
Hii serikali yetu aieleweki mtu anaweza kuplan biashara yake akaifanyia kazi vema mwisho wanachukua ela kiulaini
Mfano mr.kuku
Je Mr. Kuku hadi alifikia hatua ya kujitangaza alikuwa anatumia janjajanja kukwepa utaratibu wa serikali kwenye biashara yake?
Mwisho wa siku haikukosekana sababu
Watu wakaliwa ela zao jamaa yupo huru sasa kaja kwa njia nyingine ya kuuza Hisa
Pia hao wa Vanila wakishapata watu wengi wakawekeza wataambiwa hawakukata leseni ya upatu yeye na aliyeweka wote wanamakosa
Hizo B zitakazokuwa kwenye Account wanachukua kirahisi .
KWA HIYO NI NGUMU KUJUA ITAKUWA KAMA DECCI AU MR. KUKU KWA SABABU KUNA MAMBO YANAKUJAGA KUINGIA HAPO KATIKATI BAADA YA WATU WENGI KUWEKEZA NA ACCOUNT IKIWA NA ELA NYINGI.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,225
2,000
Fursa yeyeto inapokuja mwanzoni ichangamikie kabla haijawaa pyramid.
Hata DeCi wa mwanzo waliwini.
Hili la kilo moja vanilla bei milioni 1 linashaka kidogo.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,225
2,000
Nami nimeliona Vanilla kg 1 ni Tsh.1,000,000/= wanahitaji uwekeze
Nikaona na kusikia tena wanakupa shamba bure sijui ndio haohao
Hii serikali yetu aieleweki mtu anaweza kuplan biashara yake akaifanyia kazi vema mwisho wanachukua ela kiulaini
Mfano mr.kuku
Je Mr. Kuku hadi alifikia hatua ya kujitangaza alikuwa anatumia janjajanja kukwepa utaratibu wa serikali kwenye biashara yake?
Mwisho wa siku haikukosekana sababu
Watu wakaliwa ela zao jamaa yupo huru sasa kaja kwa njia nyingine ya kuuza Hisa
Pia hao wa Vanila wakishapata watu wengi wakawekeza wataambiwa hawakukata leseni ya upatu yeye na aliyeweka wote wanamakosa
Hizo B zitakazokuwa kwenye Account wanachukua kirahisi .
KWA HIYO NI NGUMU KUJUA ITAKUWA KAMA DECCI AU MR. KUKU KWA SABABU KUNA MAMBO YANAKUJAGA KUINGIA HAPO KATIKATI BAADA YA WATU WENGI KUWEKEZA NA ACCOUNT IKIWA NA ELA NYINGI.
Sio kwamba serikali huwa awajui bali pia ni njia ya kukusanyia pesa.Mfano wanawaacha wananchi wanaingia kichwa kichwa michezo inachezeka weee wanachungulia account tu zikifika bilioni kadhaa.Wanakamatwa wahusika account zinafungwa wanapewa kesi za uhujumu na kutakatisha pesa wanakaa rumande, pesa zinataifishwa.Sijawhi sikia serikali imewahi rejesha pesa za wananchi mfano Deci,mr Kuku ,nk lkn unakuta wahusika walishaachiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom