Hivi hizi tume za vyuo vikuu navyo vina ulaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hizi tume za vyuo vikuu navyo vina ulaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mundo, Feb 15, 2011.

 1. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikiwa naangalia bunge, uchaguzi wa jana na leo uchaguzi wa kuwakilisha wabunge ktk vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu.wakiomba kura kwa unyenyekevu hivi huko nako kuna maslahi?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mkuu sidhani kama wana uchungu wa kuinua elimu kukimbilia hizo tume ni wanafki tuuu wanakimbilia mshiko tu hao
   
Loading...