tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,238
- 4,464
Nilikuwa ninazipitia Standard Treatment Guideline za MoH. Nikawa ninajiuliza nani kazitengeneza na zimelenga vituo gani? Lakini nikashangazwa na hii sentensi (This guideline) will be used at all health facility levels in order to improve Care and Treatment of children and adolescents. The guidelines provide an up-to-date clinical management and therefore improve quality of health care services in the Country
Ni ajabu sana kuona katika karne hii inatengezwa guideline kwa kutumia old school bila evidence na ikatakiwa itumike kwenye facilities ndogo hadi kubwa. Mfano kwenye treatment ya Dilated and Restrictive Cardiomyopathy wanasema treatment ni Digoxin AND Frusemide and Spironolactone. How can you treat dilated cardiomyopathy with ONLY (if need be) Digoxin and Diuretics? Easy like that?!!! Unamaanisha wagonjwa wa JKCI watibiwe hivyo? Je, hii guideline ifuatwe na vituo vya Afya vidogo vidogo au hadi kwenye super specialized hospitals kama Muhimbili, JKCI, Benjamini Mkapa n.k?
Bahati mbaya sana NHIF pia hutumia hii guideline kama miongozo yao katika kukata claims za vituo vya afya.
Au ndio kupeana deals za per diem hadi kwenye treatment guidelines?