Hivi hizi imani za kutokula chakula cha mgeni bado zipo?

jmapunda

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
731
2,922
Salaam wakuu.
Wiki iliyopita niliwatembelea ndugu zangu maaeneo flani hivi. Mara akaja mgeni mmoja na msosi wa nguvu kwenye hot pot. Jambo lililonishangaza ni kwamba hakuna mtu aliyeruhusiwa kula huo msosi.

Yule mgeni alipoondoka msosi ukatupwa jalalani. Daa nilisikitika sana. Kumbe bado hizi imani zipo!
 
Salaam wakuu.Wiki iliyopita niliwatembelea ndugu zangu maaeneo flani hivi.Mara akaja mgeni mmoja na msosi wa nguvu kwenye hot pot.Jambo lililonishangaza ni kwamba hakuna mtu aliyeruhusiwa kula huo msosi.Yule mgeni alipoondoka msosi ukatupwa jalalani.Daa nilisikitika sana.Kumbe bado hizi imani zipo!
Sio suala la imani,ni suala la usalama tu,inakuwaje mtu akuletee chakula kilichopikwa tayari?

1. Usalama wa chakula,kama kina sumu je?
2. Mazingira aliyo andalia chakula, je yana uhakika kiusafi?
3. This is Africa uafrika wetu tunao tu hata iweje.
 
Salaam wakuu.Wiki iliyopita niliwatembelea ndugu zangu maaeneo flani hivi.Mara akaja mgeni mmoja na msosi wa nguvu kwenye hot pot.Jambo lililonishangaza ni kwamba hakuna mtu aliyeruhusiwa kula huo msosi.Yule mgeni alipoondoka msosi ukatupwa jalalani.Daa nilisikitika sana.Kumbe bado hizi imani zipo!
Hawakukwambia relation yao ipoje na huyo mgeni au background kuhusu mahusiano ya huyo mgeni na jamii ya ile familia.! Cause if you want to resolve a problem unahitaji kujua the root of it
 
Back
Top Bottom