Hivi hizi habari tunazoambiwa nani ana uhaikika kama ni za kweli

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,993
144,327
Hivi haya mambo tunayoambiwa tunapaswa kuyaamini na kuyachukulia serious kuna watu kweli wameyafanya?

Mbona kama ni matukio yanayoonekana kuandaliwa kiufundi kufunika matukio mengine ya nyuma?
Seriousness katika ku-deal na mambo haya kweli ipo/inaonekana?

Ifike mahali tuwe tunapewa na ushadi wa haya mambo maana yanashangaza sana na kwakweli hayaingii akilini kiasi kwamba mtu unahisi huenda huu ni mchezo tu.

Hizi risky mbona haziingii akilini na badala yake zinaibua maswali mengi?
Alafu mbona matukio haya yanaonekana kusubiri occassion maalumu ndio yanaibuliwa?
 
Napo kama n kwel bas kuna watu wanatolewa kafara, au kwa vle hupewa shighul nyngn?
 
Hivi haya mambo tunayoambiwa tunapaswa kuyaamini na kuyachukulia serious kuna watu kweli wameyafanya?

Mbona kama ni matukio yanayoonekana kuandaliwa kiufundi kufunika matukio mengine ya nyuma?

Seriuosness katika ku-deal na mambo haya kweli ipo/inaonekana?

Ifike mahali tuwe tunapewa na ushadi wa haya mambo maana yanashangaza sana na kwakweli hayaingii akilini kiasi kwamba mtu unahisi huenda huu ni mchezo tu
Ndio maana hakuna link ya kosa na hukumu zinazotolewa kiasi cha kutuacha njia panda walipa kodi.
 
Nimetoka kapa yaaani mweupe kama nilivyoingia
Msaada plsssss!!!
Ni mengi mno.
Mfano watu wanachukua makusanyo ya TRA wanakwenda kuweka kwenye fixed acc. kwenye bank fulani na fulani.
Hivi makusanyo yalikuwa hayajulikani ni kiasi gani so kilichopatikana ni hiki kiende hazina .

Au ilikuwa kila mtu anajiamulia tu?

Sasa kama hawa watu walikuwa wanachota hela huko TRA si wawahishwe kwenye ile mahakama na wafungwe HARAKAHARAKA kwa sababu ushahidi uko open?

Au wanasubiri kupangiwa kazi nyingine?

SIJARIBIWI!!
 
Kila siku tunaona watu wanachinjwa kwanza halafu baadaye ndio tunaambiwa walichinjwa kwa sababu wali iba, inakuwa kama vijisababu tuuu.
Naona mwaka unausha hivo mambo ndio hayo hayo.
Kuna shida hapa
 
Hv unazungumzia.mambo gan mkuu??

Maana.kuna mambo meng sana tumeambiwa na.ushahidi hakuna
Eg
Vitabu.viitwavyo.vitakatifu na uwepo allah/God
Ushahid hakuna

Nk
Sasa ww unamaana gan mkuu??
 
Sasa mtu kahongwa na Mpemba halafu anateuliwa kwengine !
Tujikumbushe wakati wa kampeni! Kwangu ukiharibu usitegemee kuhamishwa, utakuwa huna kazi! Wenyewe tu mashahidi! Kwangu sitapenda kuambiwa habari ya mchakato unaendelea, leo ni mwezi wa sita tunaendelea na mchakato wa watumishi hewa! Kwangu hakuna mwanafunzi atakayekosa mkopo, ukichaguliwa tu kwenda chuo kikuu fedha yako utaikuta imetangulia leo juma la 6 first year hawajapata fedha yao wameishia kudanganywa kusainishwa tu! continuing hata hawajui hatima yao! Kweli kuongoza nchi ni kazi!!
 
Hv unazungumzia.mambo gan mkuu??

Maana.kuna mambo meng sana tumeambiwa na.ushahidi hakuna
Eg
Vitabu.viitwavyo.vitakatifu na uwepo allah/God
Ushahid hakuna

Nk
Sasa ww unamaana gan mkuu??
Hizi nyakati sio nzuri sana kujiachia ila taratibu utaelewa tu just fuatilia.
 
Ni mengi mno.
Mfano watu wanachukua makusanyo ya TRA wanakwenda kuweka kwenye fixed acc. kwenye bank fulani na fulani.
Hivi makusanyo yalikuwa hayajulikani ni kiasi gani so kilichopatikana ni hiki kiende hazina .

Au ilikuwa kila mtu anajiamulia tu?

Sasa kama hawa watu walikuwa wanachota hela huko TRA si wawahishwe kwenye ile mahakama na wafungwe HARAKAHARAKA kwa sababu ushahidi uko open?

Au wanasubiri kupangiwa kazi nyingine?

SIJARIBIWI!!

Duh!!!!
Thanks nimekusoma mdau iyo ishu ni kweli lakini au changa la macho?
 
Back
Top Bottom