Hivi hizi habari kumhusu huyu mzungu ni za kweli?

Kuna mzungu amempa mfanyakazi wake mswahili juisi akanywa. Alipoinywa meno yakaanza kung'oka moja moja na kufika asubuhi meno yote mdomoni yakawa yameng'oka. Huyu mzungu ni M Denmark.

Kisa kilikuwa hivi:

Huyo mzungu alisafiri kwenda kwao kwa muda wa wiki 3. Akampa maagizo kila siku awe anampa mbwa wa huyo mzungu kiasi cha nyama kilo mbili na chakula fulani hivi special cha mbwa kila siku mara moja.

Sasa huyo mfanyakazi Mtanzania badala ya kumpa nyama hiyo huyo mbwa kila siku alikuwa nyama anayoinunua kwa ajili ya mbwa yeye anaipeleka nyumbani kwake (maeneo ya Oysterbay karibu na Ubalozi wa Marekani. Mitaa hiyo wenyeji wataijua vizuri.)

Yule mbwa alikuwa anamkorogea kile chakula special bila nyama.

Mzungu aliporudi alikuta yule mbwa amekonda sana. Akamuliza yule mfanyakazi wake kwanini mbwa amekonda vile. Jibu la mswahili na kama mnavyojua uongo wa waswahili akasema mbwa huyo ni mgonjwa.

Yule mzungu akampeleka kwa daktari wa mbwa. Majibu ya daktari ni kwamba mbwa haumwi bali ana njaa.

Mzungu alikasirika sana.

Lakini hakumuuliza kitu yule mswahili zaidi ya kumpa ile juisi niliyoieleza hapo juu.

Sasa je, huyu mzungu ile juisi aliyompa mfanyakazi wake inawezekana ndio chanzo cha meno kung'oka? Na je, yawesekana ni hasira za kutesa kwa njaa mbwa wake?

Mswahili amekataa kwenda polisi kushtaki maana anadai hajui ataanzia wapi.

Tutafakari.
Acha porojo za mitani.
Juisi ya kung'oa meno?
Hebu huyo jamaa atuonyeshe imetengenezwa na nini, maana sasa hivi tukiijua hiyo dawa madaktari muhimbili watakosa kazi!
 
- Mbwa = chama Cha siasa

- Mfanyakazi = Yule jamaa alieenda kujificha ubalozini.

- Nyama kilo mbili = Pesa ya kampeni

- Kukonda = Hamna nafasi ya Dola

- Kung'oka meno yote = Hana ushaidi wa kumuaminisha mwenye Mbwa kuwa aliibiwa

- Hawezi kushtaki sababu hawezi uhakika = Hawezi kwenda mahakamani sababu Hana vielelezo

Nawatania bana
Mbona mimi pia nimewaza kama wewe.
 
Siyo mimi. Ni taatifa kutoka kwa mkewe aliyepiga simu akilia kuhadithia kisa hiki.
Ni kukosa kwetu elimu na umasikini tu ndio inasumbua. Hawajui kama kuna meno ya bandia (dentures) anaweza kutengenezewa? Abanwe huyo mzungu atoe hela kugharamia.
 
Kuna mzungu amempa mfanyakazi wake mswahili juisi akanywa. Alipoinywa meno yakaanza kung'oka moja moja na kufika asubuhi meno yote mdomoni yakawa yameng'oka. Huyu mzungu ni M Denmark.

Kisa kilikuwa hivi:

Huyo mzungu alisafiri kwenda kwao kwa muda wa wiki 3. Akampa maagizo kila siku awe anampa mbwa wa huyo mzungu kiasi cha nyama kilo mbili na chakula fulani hivi special cha mbwa kila siku mara moja.

Sasa huyo mfanyakazi Mtanzania badala ya kumpa nyama hiyo huyo mbwa kila siku alikuwa nyama anayoinunua kwa ajili ya mbwa yeye anaipeleka nyumbani kwake (maeneo ya Oysterbay karibu na Ubalozi wa Marekani. Mitaa hiyo wenyeji wataijua vizuri.)

Yule mbwa alikuwa anamkorogea kile chakula special bila nyama.

Mzungu aliporudi alikuta yule mbwa amekonda sana. Akamuliza yule mfanyakazi wake kwanini mbwa amekonda vile. Jibu la mswahili na kama mnavyojua uongo wa waswahili akasema mbwa huyo ni mgonjwa.

Yule mzungu akampeleka kwa daktari wa mbwa. Majibu ya daktari ni kwamba mbwa haumwi bali ana njaa.

Mzungu alikasirika sana.

Lakini hakumuuliza kitu yule mswahili zaidi ya kumpa ile juisi niliyoieleza hapo juu.

Sasa je, huyu mzungu ile juisi aliyompa mfanyakazi wake inawezekana ndio chanzo cha meno kung'oka? Na je, yawesekana ni hasira za kutesa kwa njaa mbwa wake?

Mswahili amekataa kwenda polisi kushtaki maana anadai hajui ataanzia wapi.

Tutafakari.
Threads za kitoto zinazidi kutamalaki hapa JF!
 
Kilo 2 nyama kila siku.6000×2=12,000...12,000×28=336,000

Huyo mbwa kwa mwezi atakuwa anakula mshahara wa walimu 13,000 wa awamu ya 5 wa serikali ya viwanda,hiyo ni nyama tu,bado chakula kile kingine na matibabu
Nyama ni elfu 8 kwa sasa
 
Pole sana Mswahili, tamaa mbele mauti nyuma na polisi hauwezi kwenda hauna ushahidi.

Ushahidi ulikuwa ni ile juice ikapimwe na pia athari kwenye meno imesababishwa na kemikali zilizopo kwenye juice. Sasa juice ulibugia yote kusindikiza nyama alizotakiwa kula mbwa.

Hata juice ingekuwepo ungeishawishi vipi mahakama bila kutia shaka kwamba ile juice ulipewa na Mzungu?

Ndugu hapo huna chako tafuta tu meno ya bandia.

Siku nyingine uwe unajiweka wazi kuwa wewe ndiye mla nyama
Yaani jamaa inaonekani ni Chauroho aliyekubuhu.

Nyama kakukung'uta, kapewa na Juice kafagia
 
Kuna mzungu amempa mfanyakazi wake mswahili juisi akanywa. Alipoinywa meno yakaanza kung'oka moja moja na kufika asubuhi meno yote mdomoni yakawa yameng'oka. Huyu mzungu ni M Denmark.

Kisa kilikuwa hivi:

Huyo mzungu alisafiri kwenda kwao kwa muda wa wiki 3. Akampa maagizo kila siku awe anampa mbwa wa huyo mzungu kiasi cha nyama kilo mbili na chakula fulani hivi special cha mbwa kila siku mara moja.

Sasa huyo mfanyakazi Mtanzania badala ya kumpa nyama hiyo huyo mbwa kila siku alikuwa nyama anayoinunua kwa ajili ya mbwa yeye anaipeleka nyumbani kwake (maeneo ya Oysterbay karibu na Ubalozi wa Marekani. Mitaa hiyo wenyeji wataijua vizuri.)

Yule mbwa alikuwa anamkorogea kile chakula special bila nyama.

Mzungu aliporudi alikuta yule mbwa amekonda sana. Akamuliza yule mfanyakazi wake kwanini mbwa amekonda vile. Jibu la mswahili na kama mnavyojua uongo wa waswahili akasema mbwa huyo ni mgonjwa.

Yule mzungu akampeleka kwa daktari wa mbwa. Majibu ya daktari ni kwamba mbwa haumwi bali ana njaa.

Mzungu alikasirika sana.

Lakini hakumuuliza kitu yule mswahili zaidi ya kumpa ile juisi niliyoieleza hapo juu.

Sasa je, huyu mzungu ile juisi aliyompa mfanyakazi wake inawezekana ndio chanzo cha meno kung'oka? Na je, yawesekana ni hasira za kutesa kwa njaa mbwa wake?

Mswahili amekataa kwenda polisi kushtaki maana anadai hajui ataanzia wapi.

Tutafakari.
Meno yameng'oka kutokana na laana toka kwa mbwa.
 
Wewe ndiye unaemjua mzungu na huyo mfanyakazi wake. Hivyo wewe ndiye mwenye majibu sahihi kwetu. Sisi wa huku kinjekitile village tutajuaje sababu ya huyo mtumishi kung'oka meno?
 
Mzungu kaamua kuyaondoa Meno ya mswahili yaliyokua yakitafuna nyama!

Hiki kisa hata kama sio cha kweli ila kwanini mtu unakua sio muaminifu? kama ulikua na shida si ungemwambia huyo mzungu kuliko kumtesa Mbwa wake? uaminifu ni mtaji mkubwa sana katika maisha,tujaribu kua waaminifu na tuache tamaa zakijinga ambazo ni za muda mfupi tu.
Tunakinzana mambo ya Irani na taifa teule la Mungu wa kweli. Lakin wewee jamaa ni intelligent sana Busara na hekima kwa kusoma tu comment zakonakufananishaga na RRONDO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom