Hivi hizi couple huwa zinaendelea kuwepo after college?

Inategemea, wengine wanaowana, wengine bye bye university.
 
We senator mwenyewe huyo dada ulienae hapo college una malengo nae? Au wa kuuza nae sura tu!?
 
We senator mwenyewe huyo dada ulienae hapo college una malengo nae? Au wa kuuza nae sura tu!?

me wangu yuko kijijin kwetu huko kilema pofo-moshi vijijin analinda migomba yetu..hawa wasomi cwawez mwenzio.
 
Zipo couple zinazoendelea mpaka uzeeni na ni zile ambazo zipo kwa sababu au wanamheshimu na kumtii Mungu au wanapendana na ulikuwa mpango wa Mungu wao kukutana wakiwa chuoni. Wengine wanapotezeana muda tu halafu "talaka" zinatembea karibu na mitihani halafu ...
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Mi natofautiana na wachangiaji wengine kwasababu sio couple zote zinakufa after college,zingine zinaleta ndoa.la muhimu ni true love tu
Tulianzia sekondari, Chuo miaka mitatu na sasa tupo ndani ya ndoa na mtoto mmoja. Nafahamu pia jamaa zangu kama watatu hivi ambao walifanikiwa kuoana, japo uwezekano wa kuachana ni mkubwa zaidi
 
Back
Top Bottom