Hivi hisa za Vodacom haziusiani na M-pesa

IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,913
5,216
Ninaomba kuuliza maana sina uhakika. Je hizi hisa za Vodacom zinazouzwa haziusiani na m-pesa? Namaanisha Katika faida inayopatikana katika mpesa haitolewi kama gawio kwa shareholders
 
Back
Top Bottom