Hivi hili suala ni kweli wakuu?

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
2307805_2306076_1572191514899.jpeg


Kama kuna kaukweli vile
 
INAFIKIRISHA:

Kama rejects wa wasio na ubongo ndo husubiriwa kupeperusha bendera upande wa pili na kuwa think tanks.

Kuna uwezekano hao wa upande wa pili hata hivyo vichwa vyenyewe hawana!
 
Kweli. Mfano wa Karibu ni Picha za barabara mbovu za Hifadhi ya Ngorongoro, na jinsi viongozi tuanao waamini walivyolipokea na kulishughulikia.
 
Binamu umeanza lini kuwa huu upande uliojaa sitiresi. 😎😎

#kupendasiasa.

Binamu yangu kwanza nilivyoku-miss my sweetlove. Acha kabisa.

Hebu ngoja nije PM my love sio kwa kuku-miss huku my dear. Lol.

Huku huwa nachunguliaga sipo miguu yote my dear mguu mmoja nje mguu mmoja ndani Nam.
 
ukitaka kuprove iangalie ile safu ya phd holder na maprofesor kabla na baada ya kuhamia ccm, mfano dr bashiru, profesor kabudi, magufuli, mwakyembe nk, halafu watafautishe na kibabaji
Pole pole ndo amekuwa zero brain kabsa masikini mkaka wa watu nikikumbuka enzi ya mchakato wa katiba
 
Back
Top Bottom