Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,443
- 6,986
Sub woofer angetulia tu kuliko kutapatapa
Kamati ya PAC wamekuwa wahasibu siku hizi, awamu hii ni mitihani mitupu.Spika Ndugai amesema kuwa, "ningependa kuwajulisha juu ya taarifa ya ukaguzi wa ofisi ya CAG kwa mwaka fedha unaoshia Juni, 2018, hesabu za CAG zinapaswa kukaguliwa walau mara moja kwa mwaka, na Kamati ya PAC ndiyo inajukumu la kukagua ofisi hiyo, kazi imeshafanyika na imetuletea taarifa ya hesabu zilizokaguliwa za ofisi hiyo."
lakini kiutaratibu nimeshaipeleka PAC na wakishamaliza uchambuzi watawasilisha kwangu,
Kama PAC ndo yenye jukumu la ukaguzi kivipi aanze kupewa yeye na irudishwe tena PAC??? NAONA NYOTANYOTA