Hivi hili jambo kwa mabinti wa sasa ni bahati mbaya au ndio trending wanaume wengi hawapendi acheni

dealkubwa

Senior Member
Jul 1, 2020
144
584
Habar wakubwa nimefanya utafit wangu mdogo kwa kuzingatia past life experiance nimebain kwamba mabint wengi wamezalishwa mtoto mmoja bila kuolewa wengi wamepanga wengine wanaish kwao tena wako so happy.

Past experiance ya maisha yangu enzi za kina mzee abdup na mzee nyange yaan miaka ya 80-90 ilikua huwez kukuta unamzalisha bint wa watu kiulain utakabwa koo wewe uish nae ndii maana mzee abdul akachimba na kukana kimanga akuuuuuuuu. alipomdunga mimba bi sanda.

Zaman ukimpa bind mimba unakataa mimba hadi yeye mwenyewe unamkataa na kama hana mimba akikutania nina mimba ugomvi wake sio mchezo

Back to the line wana bodi wenzangu sasa hiv mabint wanafika mahar mpaka wanafos uwape mimba au wanakutegeshea makusud sasa tatizo mnawapa tabu waoaji maana kila bint kazalishwa mambo ya kukumbushiana na baba mtoto wako vijana weng hawapendi

Swali comon now ni una mtoto na jibu comon ni ndio ninae yaan zaman tulikia tunaulizia una bikra jibu lilikua ndio sasa tunaulizia mtoto itafika mahar tutaanza kuulizana una mabwana wangap
 
Habar wakubwa nimefanya utafit wangu mdogo kwa kuzingatia past life experiance nimebain kwamba mabint wengi wamezalishwa mtoto mmoja bila kuolewa wengi wamepanga wengine wanaish kwao tena wako so happy.

Past experiance ya maisha yangu enzi za kina mzee abdup na mzee nyange yaan miaka ya 80-90 ilikua huwez kukuta unamzalisha bint wa watu kiulain utakabwa koo wewe uish nae ndii maana mzee abdul akachimba na kukana kimanga akuuuuuuuu. alipomdunga mimba bi sanda.

Zaman ukimpa bind mimba unakataa mimba hadi yeye mwenyewe unamkataa na kama hana mimba akikutania nina mimba ugomvi wake sio mchezo

Back to the line wana ccm wenzangu sasa hiv mabint wanafika mahar mpaka wanafos uwape mimba au wanakutegeshea makusud sasa tatizo mnawapa tabu waoaji maana kila bint kazalishwa mambo ya kukumbushiana na baba mtoto wako vijana weng hawapendi

Swali comon now ni una mtoto na jibu comon ni ndio ninae yaan zaman tulikia tunaulizia una bikra jibu lilikua ndio sasa tunaulizia mtoto itafika mahar tutaanza kuulizana una mabwana wangap
Wanaccm ni akina nani ,

Unaleta uccm kwenye mapenzi ,..
 
Wanawake wengi wamelishwa sumu wanaume wote ni waovu hivo hupelekea kutaka kuzaa watoto ambao watakuwa mbali na baba zao na wengine wanakua wanaangalia future ya mwanaume hivo unakuta ndo wanafosi mahusiano kupitia mimba ila sio kama wanakupenda kwa dhati ,na ukumbuke moja ya mitego ya wanawake kumnasa mwanaume ni mimba
 
Sasa Kama kakutegeshea,ni lazima kuishi naee??
 
Nikiona mada inahusu kelele na kilio kuhusu mahusiano ya kimapenzi, huwa napatwa kichefu chefu. Sijui kwanini.
 
Yani wavulana wa siku hzi wanalia lia sana. Mm nakumbuka enzi zetu boy mliemaliza nae kidato cha nne tuu yuko vzr kwny kujiongeza yani inshort anajielewa.
 
Kabisa kabisa yaan, saiv kijana wa 15yrs anamaliza kidato cha 4, wakati hata vuzi hajui kunyoa, acha hiyo akili ya kujiongeza, afu wanakimbilia mambo ya wakubwa, mwishoe wanaletaa kero tupu hapa kwa lawama zao. Khaaaaah
 
Dawa yao...unampa mimba mwanamke unaetaka kuishinae ...then unakaa nae tuone yeye atafanya nini

Wanawake wa sikuhizi wapuuzi sana,Yani unamgonga kutoa genye una mpa na P2 Kabisa,mwisho wa siku hamezi

Baadae anakuja kukwambia ninamimba ya miezi minne na blah blah kibao(mara nilikuwa nahitaji mtoto,sijui nimekuona unafaa...)

Kwakweli kwangu Mimi ni BIG NOO
 
Kama unasifa kama za husband material, handsome, umaarufu, nyota yako inashine au unafuture autategeshewa mimba tu hata kwa waganga watakuendea tena sio mmoja atakaye kufanyia hivyo ni wengi hadi wake za watu
 
Kabisa kabisa yaan, saiv kijana wa 15yrs anamaliza kidato cha 4, wakati hata vuzi hajui kunyoa, acha hiyo akili ya kujiongeza, afu wanakimbilia mambo ya wakubwa, mwishoe wanaletaa kero tupu hapa kwa lawama zao. Khaaaaah
Wanajifanya na wao eti wababe unakuta ka vulana ka under 20 kanajitanuaaaaa
 
hahahaha mkuu mbona kama ulitoa dongo ndo mwenzio kalike na kucoment na kukuunga mkono. Kumbe uko pamoja na sisi?
Acha tu nna dada zangu ni single mother
Muda mwingne sio vizuri kuwakashifu single mother
Ila nilimquote sababu mada kama hizi zinampa kichefu chefu so nikamjibu akale limao
 
Back
Top Bottom