Hivi hili jambo kwa mabinti wa sasa ni bahati mbaya au ndio trending wanaume wengi hawapendi acheni

H
Acha tu nna dada zangu ni single mother
Muda mwingne sio vizuri kuwakashifu single mother
Ila nilimquote sababu mada kama hizi zinampa kichefu chefu so nikamjibu akale limao
Ahahaa pole. Saa nyingine wanawake wanasababisha kuwa single kwa sbb ya viburi kuna muda ni natural mfano kuna vifo vya wenzi n.k So ni kweli sio vyema kuwasema wote. By the way mimi kwa upande wangu sio single mother.
 
H

ahahaa pole. Saa nyingine wanawake wanasababisha kuwa single kwa sbb ya viburi kuna muda ni natural mfano kuna vifo vya wenzi n.k So ni kweli sio vyema kuwasema wote. By the way mimi kwa upande wangu sio single mother.
Hongera
 
Aisee hizo mimba wadada wanajipea wenyewe
Kwamba mdada kupata mimba na kubaki single mother sababu kubwa inakua ni yeye !?
Hebu wapumzisheni single mother as long as ni msalaba wao na si wako


Eti umepata malalamiko inakuaje watu wanakuja kukulalamikia wewe kwa tabu za mtu mwingine
 
H

Ahahaa pole. Saa nyingine wanawake wanasababisha kuwa single kwa sbb ya viburi kuna muda ni natural mfano kuna vifo vya wenzi n.k So ni kweli sio vyema kuwasema wote. By the way mimi kwa upande wangu sio single mother.
Uko sawa,unakuta mwanamke sifa za sura na shepu hana afu analeta kiburi unamwangalia unasema hiiiii huyu hanijui unamwacha hapo unatuma hela ya matumizi tu afu tuone kiburi kitampeleka wapi....kwa viburi single mother wataongezeka
 
Back
Top Bottom