GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,468
- 108,621
Niliwahi Kusoma mahala huko nyuma nikiwa bado mdogo kabisa kuwa kumbe nchini Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu kama Kiongozi wa juu ama akiwa Mgonjwa au ameaga dunia au ameonekana uwezo wake wa Akili umeanza kutoendana ‘ Kiushirikiano ‘ na Watanzania wengine wote kama Milioni 55 hivi basi Makamu wake ataongoza nchi kwa Kipindi kilichobakia.
Mimi siyo mfuatiliaji sana wa Masuala ya Kisiasa na Kwanza hata siyajui na siyapendi pia ila nashangaa kwanini leo nimeamka na kujikuta nawaza hili. Najua hapa JamiiForums ndiyo kuna ‘Geniuses ‘ wengi na nikitaka kujua Jambo huwa sikosi Majibu yake. Je, hiki Kipengele cha Katiba bado kipo au kiliondolewa?
Je, waliokitunga hawawezi labda wakaongeza Kitu kingine kwamba kama ikitokea hivyo basi Bunge liamue kwa Kupiga Kura kwa Kuangalia katika ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu nani ni Mkali au Makini ili aweze Kukabidhiwa nchi katika Kipindi hicho cha Mpito pasipo hata Kuathiri Utendaji wa Kiserikali na wa katika ngazi zake mbalimbali?
Karibuni wana JamiiForums leo mnifundishe Siasa Mimi An Eagle. Nitawashukuruni mno.