Hivi hiki kiherehere cha Polisi , Wabunge wa CCM kuzungumzia tukio la kushambuliwa Mbowe kina malengo gani?

Baada ya Mbowe kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika, familia au walikuwepo wakati wa tukio. Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa, jibu ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe jana wala juzi

Kuna Ndugai anadai kuna mengi tu juu ya tukio hilo, swali ameyajuaje? Alikuwa wapi wakati wa tukio? Saa saba hizo alikuwa anamfuatilia Mbowe kwanini?

Polisi wanasema tukio la kawaida, Kamanda Muroto amefanya uchunguzi saa ngapi kuyabaini hayo?

Kuna kitu kinaitwa key points na source of information akajifunze sio wote maamuma humu wa kuwadanganya. Muda Ni Mwalimu mzuri sana.

Mbowe ndio source namba moja ya tukio mnapotosha kwa nia gani?
Ungemtaja na yule mkimbizi wa ugiriki maana hata yeye anaongea balaa.
 
Hariri andiko lako. Ni kana kwamba hujatumia lugha ya kiswahili kuandika....

Lina makosa mengi sana ya kiundishi kiasi ambacho mtu anakosa ladha ya kulisoma....
 
Unajua wakati mwingine na sisi watz sijui tukoje? Ingekuwa nchi zingine pasingekalika

Tz tumejaa uoga,unafiki,hofu,mashaka,wasiwasi ndio maana viongozi wetu wanatuona wajinga saana wanatugeuza mazumbukuku

Hakuna ujinga kama kuona mtu anakufa au kuumizwa halafu watu tunakaa kimya, tusipotafakari kwakina hakika tutaendelea kuwa sehemu ya damu zinazomwagika kila siku

Hili ni suala ambalo halipaswi kuingizwa ushabiki wa vyama hata kidogo we are the human being, sote tunahaki ya kuishi bila kujali itikadi zetu

Tuache ushabiki wa kufurahia na kushangilia mabaya

#Leo kwa kwake hatujui kesho ni nani
#Tunapaswa kuupinga ukatili bila kujali tofauti zetu
Hapo kwenye red

Kwa hiyo unatuambia wewe ni Muoga,mnafiki,mwenye hofu,mashaka,wasiwasi ??
 
Sijakuelewa,sikuelewi,wala hueleweki unapozungumzia camera,tangu lini camera za eneo bunge zikafanya kazi?au umesahau ya lisu vs camera vs walinzi wa serekali!!!!
Huelewi nini sasa......camera au! Kwani mtu akijiwekea camera kwake anakufa.

Mbowe ni mtu wa kushindwa kujiwekea camera kwake.
 
yaani unawalaumu akina lijuakali wakati na wewe unafanya hayohayo.Hii michezo (tukio la lisu na mwamba yanatoka ndani ya chama chao).Kwanini ikitokea tu haraka mnatangazia uma kwamba serikali imehusika? kama serikali ikimtaka mbowe hachukui hata raundi
 
M
Usiite kiherehere!, Mhe. Mbowe ni mtu mkubwa sana na muhimu, ndiye KUB, na Mwenyekiti wa taifa wa Chadema.
P
Mkubwa sana na muhimu anajeruhiwa na vibaka! Utangulizi ulifanyika wa kumwondolea walinzi wa serkali. Matayarisho tosha ya kumjeruhi nyumbani kwake kwenye ulinzi. Vibaka wanabaka hadi area hiyo na Dodoma inabaki salama?
 
Ukishakuwa ccm unakuwa umeukaribisha utahaira,hivi mtu kama msukuma ni tahaira wa kiwango cha kimataifa
 
yaani unawalaumu akina lijuakali wakati na wewe unafanya hayohayo.Hii michezo (tukio la lisu na mwamba yanatoka ndani ya chama chao).Kwanini ikitokea tu haraka mnatangazia uma kwamba serikali imehusika? kama serikali ikimtaka mbowe hachukui hata raundi
Wewe ni tahaira mwenye simu na unayejua kuandika ulichoandika ndio kinakuqualify kuwa tahaira
 
"Evil spirit" haisaidii kitu wala kunipunguzia kitu kuniita taahira. Iko hiviMbowe ni chanzo namba moja wa hili tukio lakini haimaanishi kwamba anaweza kutueleza ukweli.Hapa ataeleza kile anadhani watu kama wewe watakipokea kama kilivyo na kukishadadia.Wewe nipe uhakika kwamba mwamba kashambuliwa
 
Back
Top Bottom