Kwa Mujibu wa NQF:
Inaanza FTC-TC-OD-AD-BD-MD-PHD ambapo B ni Bachelor M ni Masters na A ni Advanced
Maelezo yako hayako sahihi, maelezo sahihi ni haya hapa chini.
Mfumo wa kupitia Technical College ulikuwa na njia mbili:
1. FTC-BD-MD-PHD (Hapa mtu baada ya FTC anakwenda chuoni kusoma degree moja kwa moja na kuendelea)
2. FTC-ADE-PGD-MD-PHD (ADE-ni Advanced Diploma in Engineering, PGD- Post Graduate Diploma mwaka mmoja na kuendelea)
Mfumo wa sasa
OD-BD-MD-PHD