Hivi hii Vodacom Miss Tanzania 2011 kwanini mpaka leo hamna kitu kipya?

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Watching Vodacom Miss Tanzania 2011........Nothing New meeeeen...Ngoja niendelee kupenda Sports hasa Simba na Arsenal tu ....Sometimes vitu vingine vinaweza kukufanya utapike......Khaaaa!!! Ptu.

Mtazamo wadau......
 
sijaona tija ya mashindano kama haya hiz pesa za uzamin tungenunua madawat,vitabu ving sana
 
Watching Vodacom Miss Tanzania 2011........Nothing New meeeeen...Ngoja niendelee kupenda Sports hasa Simba na Arsenal tu ....Sometimes vitu vingine vinaweza kukufanya utapike......Khaaaa!!! Ptu.

Mtazamo wadau......

ulitegemea kipya kipi?. Hakuna jipya zaidi ya wadada kupita mbele ya kadamnasi huku wamekenua.
 
"Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo. " (1 Wakorintho 10:23).
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom