Hivi hii tabia ya Wanaume kuvaa vikaptula vifupi, laini vya kubana imetokea wapi tena?

Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.., what is this?
Na vibegi vyao, ahenzi taipu
 
Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.., what is this?
Mi nafikiri mngeanza na tv na media zingine,na hata ndoa za kikristo na kiislam ambapo wanawake wengi huvaa nguo za ajabu ajabu hadi aibu kuangalia au hata kumsalimu mwanamke wa aina hii na kwa wanamuziki, yaani inaaibisha Sana. Ndo maana kipindi hiki wanaume wanakosa hata hamu ya kuwa na mwanamke maana kila kitu chenye ushawishi wa kuoa viko wazi. Pia na watoto wadogo nao wa kike kuiga nguo za kubana, wazi,kuonyesha kila kitu katika whatsapp, mitandao basi ni tabu tupu huku pia wakiwa ni maharage maji kidogo tu unakula tunda kimasihara.
Wanaume nao wa dar wameanza ushoga then vinguo vimodo.
Sijui tunaenda wapi.jamii nayo inachukulia poa
 
Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.., what is this?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom