Je ukikosa msosi kwa kutofanya kazi ya kuchoma chips unaweza kula hiyo degree?Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
Usisingizie mfumo wa elimu yetu Tanzania kwani katika wa Tanzania wote waliosoma kwenye huo mfumo wameajiriwa? Unazo takwimu ni idadi kiasi gani cha wahitimu kuanzia a level mpaka bachelor degree wanahitimu kwa mwaka na kiasi gani kati yao wanaingia kwenye formal employment?Ni kweli mkuu lakini akili yangu ilishaathiriwa na mfumo wa elimu yetu Tanzania
Bado upo Dom? Nyerere square?Nini kuchoma chips,nimetembeza mitumba katikati ya jiji la dodoma baada ya kuhitimu+Kupokonywa mtaji na manispaa+Kurudi kumuuzia mtu wa la saba nguo,pale nyerere square ananilipa day waka,
Kijana una deka Sana wewe.
That's exactly the thinking of a brainwashed slave.
Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha