Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,601
- 4,086
MKUU,Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
SIO TU KWENYE CHIPS,
HIYO SHAHADA YAKO INAFITI ANGLES NYINGI SANA,
KUANZIA KUUZA BAGIA, MAJI YA KANDORO HADI UFUNDI BAISKELI-
NI WEWE TU MWENYEWE UAMUE !!!