Hivi hii shahada yangu kuiweka kwenye chips ni halali kweli?

Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
MKUU,

SIO TU KWENYE CHIPS,
HIYO SHAHADA YAKO INAFITI ANGLES NYINGI SANA,

KUANZIA KUUZA BAGIA, MAJI YA KANDORO HADI UFUNDI BAISKELI-
NI WEWE TU MWENYEWE UAMUE !!!
 
Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
shahada ndo nn!
 
Nyie wasomi nyie eti malengo makubwa zaidi wakati huo hata faida huijui unawaza billion
Kuna mtu kakuambia amewaza billion hapo,au ww unamsaidia kuwaza,kwani ukiambiwa malengo makubwa unafikiria nini cha kwanza akilini mwako
 
Wee jamaa usipovuta sigara una akili sana. Hapa ilikuwa hasubui nahisi bado ulikuwa hujapiga pafu.
Ukipiga tu pafu basi utoto unakuwa kibao.
Kama unaweza kuishi kwa sababu ya Chips kwanini ukomae kwa cheti ambacho hakina msaada wowote kwako kwa sasa? Taaluma uliopata haikufanyi uwe VIP.

Kama umegundua chips inaweza kusogeza maisha yako kwanini uione kama kazi iliyo chini ya hadhi yako?

Fikiria kwa mara nyingine kipi bora kati ya pesa na hayo makaratasi ya sementi za Bamburi.
 
Piga kazi mkuu, tena kama umepata eneo zuri kwa siku huwezi kukosa 50,000 - 100,000/-
Huku unaendelea kujaribu kuomba kazi na ukipata unamuweka kijana, kaka yangu alimaliza ifm mwaka 2011 akaanza kushona viatu vya kimasai, mwaka 2012 akapata kazi banda lake akamuweka kijana....
Haya maisha lazima upambane mkuu , Mimi tuu nimefungua banda la chips ingawa nimeweka mtu ila nataka siku nyingine nikae mwenyewe,
Nasisitiza pambana
 
Mnazidi kunihakikishia kuwa shule mnazosoma zinawasomesha ujinga.

Hivi unasoma miaka yote ili uajiriwe tu?

Hiyo elimu yako kwanini usiitumie kwenye hizo "chips" ikakuletea mabadiliko wewe binafsi na biashara ya chips kwa ujumla wake?
HV kwa mfano MTU amesomea uinjinia wa kutengeneza ndege,unahisi anaweza tumia hayo maarifa kuuza chips??? Sio kila kozi inafaa kujiajiri bhn
 
Afu uache kuchanganya kingereza na kiswahili unapopiga stori na wateja,Utajinyanyasa mwenyewe !
 
Nini kuchoma chips,nimetembeza mitumba katikati ya jiji la dodoma baada ya kuhitimu+Kupokonywa mtaji na manispaa+Kurudi kumuuzia mtu wa la saba nguo,pale nyerere square ananilipa day waka,

Kijana una deka Sana wewe.
 
Maisha ni popote mkuu
Anza na icho kidogo ulichonacho.

Mi mwenyewe O. leval nilipiga banda kama zote nilipata division 1 ya point 9 Uhuru secondary school shinyanga. Advance nilipiga kijiti kikali tena division 1 ya point 5 mwakaleli high school mbeya. Nikaenda jalalani pale udsm pumbavu zako profesa uchwara kwa kutushushia hadhi ya chuo chetu pendwa napo pale nimetoka na 4.3.

Lakini nipo kitaa na fanya kazi za ovyo na ajabu vyeti niliamua kuvipumzisha kabatini baada ya kuzungusha bahasha ya kaki pasipo na mafanikio.

na nina mshukuru mungu ridhiki sikosi
Na mwakani nampango wa kurudi darasani kuchukua shahada ya pili kuongeza elimu yangu ili maswala yangu haya niendelee ya Fanya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.
Kama umejiajiri usirudi darasani tena. First degree inatosha. Unabisha?
 
Kama unaweza kuishi kwa sababu ya Chips kwanini ukomae kwa cheti ambacho hakina msaada wowote kwako kwa sasa? Taaluma uliopata haikufanyi uwe VIP.

Kama umegundua chips inaweza kusogeza maisha yako kwanini uione kama kazi iliyo chini ya hadhi yako?

Fikiria kwa mara nyingine kipi bora kati ya pesa na hayo makaratasi ya sementi za Bamburi.
👏👏
 
Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
inategemea na malengo yako bro!
kama kuchoma chips kwako ni njia tu ya kufikia malengo yako you better start now.., but kama ndo huna fikra za juu zaidi tafuta kitu kingne
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom