kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 404
- Thread starter
- #21
27 mkuuUna miaka mingapi tangu uzaliwe?
27 mkuuUna miaka mingapi tangu uzaliwe?
Komaa maisha ni suala la mabadiliko leo uko pale kesho uko kule. Huwezi kujua hiyo Chips itakulipa nini ila wewe jibidiishe kwenye kile unachoamini.27 mkuu
The aims of education and it's format is to prepare someone for white color jobMnazidi kunihakikishia kuwa shule mnazosoma zinawasomesha ujinga.
Hivi unasoma miaka yote ili uajiriwe tu?
Hiyo elimu yako kwanini usiitumie kwenye hizo "chips" ikakuletea mabadiliko.
How?Mindset yako ndio adui yako
That's exactly the thinking of a brainwashed slave.The aims of education and it's format is to prepare someone for white color job
Ni kweli mkuu lakini akili yangu ilishaathiriwa na mfumo wa elimu yetu TanzaniaKomaa maisha ni suala la mabadiliko leo uko pale kesho uko kule. Huwezi kujua hiyo Chips itakulipa nini ila wewe jibidiishe kwenye kile unachoamini.
Hakuna kazi inayoendana na na hadhi ya mtu kielimu, na ukianza kujiona una elimu sana kiasi kwamba kuna kazi hutakiwi kufanya basi unajidanganya.
Thank you madame.. So how can you advise me?That's exactly the thinking of a brainwashed slave.
Mimi nipo kwenye reli huku nawajengea SGR (kama kibarua) sasa nikisema nikae kusubiri ajira si nitakufa nikiwa nimeshikilia vyeti.Ni kweli mkuu lakini akili yangu ilishaathiriwa na mfumo wa elimu yetu Tanzania
Pamoja Sana mkuuKuna jamaa namfaham alimaliza chuo degree bachelor(atanisamehe km yupo huku) , ana kibanda pale mwembe yanga, anauhakik wa kula na kulipia kodi pamoja na fremu anayofanyi biashara, kwa hiyo ww ukifungua biashara yKo siyo kila mtu ajue una bachelor, ww piga kazi ili mradi unapata kidogo
Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
Komaa mkuu ndo jambo linalonisukuma mimi kufanya hii kaziMimi nipo kwenye reli huku nawajengea SGR (kama kibarua) sasa nikisema nikae kusubiri ajira si nitakufa nikiwa nimeshikilia vyeti.
Choma chips mkuu, maisha ni shilingi.Komaa mkuu ndo jambo linalonisukuma mimi kufanya hii kazi
Nashukuru kwa ushauri Leo nitavuna mengi SanaUmesomea bachelor ya kitu gani kwani. Kuchoma chips ukiwa na malengo utapata hela nyingi kuliko ungeaajiriwa serilikalini. Fanya biashara ya kuchoma chips kwa malengo utafanikiwa. Hata mbuyu uluianza kama kichuguu