Hivi hii shahada yangu kuiweka kwenye chips ni halali kweli?

Mnazidi kunihakikishia kuwa shule mnazosoma zinawasomesha ujinga.

Hivi unasoma miaka yote ili uajiriwe tu?

Hiyo elimu yako kwanini usiitumie kwenye hizo "chips" ikakuletea mabadiliko wewe binafsi na biashara ya chips kwa ujumla wake?
 
Mnazidi kunihakikishia kuwa shule mnazosoma zinawasomesha ujinga.

Hivi unasoma miaka yote ili uajiriwe tu?

Hiyo elimu yako kwanini usiitumie kwenye hizo "chips" ikakuletea mabadiliko.
The aims of education and it's format is to prepare someone for white color job
 
Kuna jamaa namfaham alimaliza chuo degree bachelor(atanisamehe km yupo huku) , ana kibanda pale mwembe yanga, anauhakik wa kula na kulipia kodi pamoja na fremu anayofanyi biashara, kwa hiyo ww ukifungua biashara yKo siyo kila mtu ajue una bachelor, ww piga kazi ili mradi unapata kidogo
 
Komaa maisha ni suala la mabadiliko leo uko pale kesho uko kule. Huwezi kujua hiyo Chips itakulipa nini ila wewe jibidiishe kwenye kile unachoamini.

Hakuna kazi inayoendana na na hadhi ya mtu kielimu, na ukianza kujiona una elimu sana kiasi kwamba kuna kazi hutakiwi kufanya basi unajidanganya.
Ni kweli mkuu lakini akili yangu ilishaathiriwa na mfumo wa elimu yetu Tanzania
 
mkuu asilimia kubwa ya watanzania tunafanya kazi tusizozipenda kwasababu tunataka pesa na hii ni kutokana na kuwa na misingi mizuri toka awali ambayo inaweza kutupeleka kwenye kazi tuzipendazo na tulizojifunza kuzifanya.
kikubwa we fanya kazi hiyo kwa muda ili kuweza kufikia lengo la kazi yako na ya elimu yako ambayo natumai unaipenda na unaweza kuifanya vizuri zaidi ya hii ya viazi na nyama
 
Kuna jamaa namfaham alimaliza chuo degree bachelor(atanisamehe km yupo huku) , ana kibanda pale mwembe yanga, anauhakik wa kula na kulipia kodi pamoja na fremu anayofanyi biashara, kwa hiyo ww ukifungua biashara yKo siyo kila mtu ajue una bachelor, ww piga kazi ili mradi unapata kidogo
Pamoja Sana mkuu
 
Umesomea bachelor ya kitu gani kwani. Kuchoma chips ukiwa na malengo utapata hela nyingi kuliko ungeaajiriwa serilikalini. Fanya biashara ya kuchoma chips kwa malengo utafanikiwa. Hata mbuyu uluianza kama kichuguu
Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na kutoitendea Haki my hanorable bachelor. Nawasilisha
 
For the purpose of attainment financial freedom it is possible . Otherwise you can't .
 
Umesomea bachelor ya kitu gani kwani. Kuchoma chips ukiwa na malengo utapata hela nyingi kuliko ungeaajiriwa serilikalini. Fanya biashara ya kuchoma chips kwa malengo utafanikiwa. Hata mbuyu uluianza kama kichuguu
Nashukuru kwa ushauri Leo nitavuna mengi Sana
 
Back
Top Bottom