Hivi hii serikali ya ccm inailalamikia nini malawi ilhali imekuwa ikilalama kuwa nchi hii ni kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii serikali ya ccm inailalamikia nini malawi ilhali imekuwa ikilalama kuwa nchi hii ni kubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by YAGHAMBA, Aug 8, 2012.

 1. YAGHAMBA

  YAGHAMBA JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  WANA JF NIPOKEENI WAKUU, Naomba tusaidiane ktk hili la mpaka wa Malawi, Serikali hii ya CCM tumeisikia mara kwa mara ikilalama kuwa nchi hii ni kubwa sana kiasi kwamba inakuwa vigumu kupeleka huduma muhimu za kijamii ktk maeneo yote nchini, ushahidi ni pamoja na hali ya huduma za kijamii kama barabara ktk eneo hilo la mpaka wa MALAWI, je kwanini basi isiikubalie Malawi ili iliendeleze eneo hilo maana nina wasiwasi hata wananchi wa huko wangependa kuishi MALAWI kwa sababu ya kutelekezwa na serikali.
   
 2. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mmalawi wewe tena mwehu!
   
 3. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Acha uvivu wa kufikiri. Inaelekea hujawahi hata kuwa na bustani achilia mbali shamba. Kama na hapa pia hujaelewa, una matatizo ya problem.
   
 4. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 787
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 60
  Duh!! taratibu mkubwa, utaua watu.
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ccm ni chama tu wenye nchi ni sisi!Tafakari!
   
 6. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nafikiri wewe sio mtanzania au unatumiwa,wewe ni mjinga kajifunze uzalendo.united we must stand.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,524
  Likes Received: 9,931
  Trophy Points: 280
  Sijui hizi ndio fikra mfu ama fikra Masaburi?
   
 8. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watakutukana lakini una hoja ya msingi hapo
   
 9. M

  Mkaruka JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2016
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 6,775
  Likes Received: 2,621
  Trophy Points: 280
  Ndo Akili Za Misukule Ya Chaggadema Hivi
   
 10. mlimilwa

  mlimilwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2016
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 924
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 80
  Hahahahahahahahahahahahaha,duh!
   
 11. Mawembasa1979

  Mawembasa1979 JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2016
  Joined: Feb 26, 2015
  Messages: 317
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Rudi tu kwenu Malawi. Tanzania yetu ni muhimu kuliko kitu chochote!
   
 12. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2016
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 13,379
  Likes Received: 23,096
  Trophy Points: 280
  Ni bora Uwe mvivu wa kufanya kazi kuliko kuwa mvivu wa kufikiri, mods uwacheni huu uzi ili wampe vidonge vyake huyu mmalawi
   
 13. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2016
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,752
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  We ni mpuuzi kweli, unafikiri hii ni nchi ya ccm!?
   
 14. hashim mwamba

  hashim mwamba JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2016
  Joined: Sep 2, 2016
  Messages: 376
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 80
  Umepata mume uko malawi
   
Loading...