Hivi hii political science and public administration inakuwaje?

Nondo ya ukweli hiyo nenda kasome. All about Human Resources, Public Administration, Parliament issues, Public Policy, Political Analyst nk nk.

Hakikisha kichwa chako kimetulia maaana baada ya Kozi ya Sheria kwa kula vicha hii Political Science ndio inafuata kwa kada za Gwin.

Ajira sio za kuuliza kwa Gwin za hiyo kozi wewe tu uwezo wako lkn tambua GPA zake hazizidi 3.2 kama unabisha kamuulize Mzee Msekwa na Mhe.Bashiru
 
Nondo ya ukweli hiyo nenda kasome. All about Human Resources, Public Administration, Parliament issues, Public Policy, Political Analyst nk nk...
Oooh shukrani for the motivation coz nmepangwa hyooo and also I'm interested so I'll do the best.... Merci beacoup
 
Nondo ya ukweli hiyo nenda kasome. All about Human Resources, Public Administration, Parliament issues, Public Policy, Political Analyst nk nk...
Vipi kwa hii Mkuu,Bachelor of Arts in History and Political Science Kuna Dogo langu kapangiwa hiyo UDSM ila naona kama atakuwa limited hivi yeye alihitaji POLITICAL SCIENCE & PUBLIC ADMINISTRATION anaweza akabadiri chuoni!

Unashauri nini Mkuu🤔
 
hilo wenge litakupungua tuu ukija utakutana na vichwa kama prof mukandara , prof Nyirabu , dr Bruce, mtaalam lupa lazima uombe pa kutokea na usipokua serious semister one tuu out
 
hilo wenge litakupungua tuu ukija utakutana na vichwa kama prof mukandara , prof Nyirabu , dr Bruce, mtaalam lupa lazima uombe pa kutokea na usipokua serious semister one tuu out
Kulikuwa na haja gani ya kumpa Vitisho🤔,Dah! Wabongo sisi Mtu akitusua Sijui kwanini anapenda kuwaona wenzie hawatoweza au Wenzie ni watu wakushindwa wewe ulitoboaje na jamaa ashindwe kutoboa,mpe ushauri na taarifa muhimu ndiyo anachohitaji.
 
Vipi kwa hii Mkuu,Bachelor of Arts in History and Political Science Kuna Dogo langu kapangiwa hiyo UDSM ila naona kama atakuwa limited hivi yeye alihitaji POLITICAL SCIENCE & PUBLIC ADMINISTRATION anaweza akabadiri chuoni!

Unashauri nini Mkuu🤔
Mwambie aaachane ni hayo Makozi sijui Phillosophy, History blaa blaaa, bora akasomee ile KOZI YA MICHEZO/UKOCHA kule DARUSO inaitwa, Physical Education ina soko kubwa la ajira lkn sokoni hakuna wahitimu. Ni ushauri lkn
 
Samples Za ajira ni kama zipi matangazo.
 
Hivi mtu akisoma political science and administration anakuwa nani na anaajiriwa wapi au Katika ofisi gani ni hvo tu wakuu msaaada apo
 
Wengi wao wanakua kama hr ila wanasimamia zaidi vitu sio watu

Na waliosomea hizi kozi atakuwa nani kama huyu anafanya kazi za hr?
Bachelor of business administration in human resources management
Bachelor of human resources management
 
Back
Top Bottom