Hivi hii ni sawa?

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
WanaJF leo nilikuwa napita mtandao wa globalpublishers.com nikaakutana na picha ya Maimartha wa Jese akiwa anakwenda Muhimbili hospital kulingana na maelezo ya picha kujiridhisha kifo cha mwanamuziki wa Twanga Pepeta marehemu Abuu Semhando na kivazi hiki.
Vipi jamani kivazi hiki mnakionaje kinaendana na tukio analilifuatilia???
9.jpg
Naombeni mawazo yenu wanajamii.
 
She is not dressed outlandishly. So I see none wrong with her get-up. Had it been a funeral ceremony then maybe I would have called into question her judgment....but here...naah
 
She is not dressed outlandishly. So I see none wrong with her get-up. Had it been a funeral ceremony then maybe I would have called into question her judgment....but here...naah
Ngoja tusubiri michango zaidi ili nifikie conclusion.
 
Alikuwa kiwanja kwahiyo alienda Muhimbili moja kwa moia - Viwanja wanawake hawaendi na khanga!
 
"Machangudoa watatafuta nguo ndefu kuficha maungo yao lakini wamechelewaaaaa"
 
duh....kweli tembea uyaone......na mbona yupo miguu peku?......mmmh......hapana hii ni tu machi
Kama naona vizuri hii picha ilipigwa usiku/alfajiri.
Nadhani baada ya taarifa za msiba Mai alijitokea kwenye viwanja huko akaenda moja kwa moja hapo na anaonekana kuchanganyikiwa.

Sidhani amekuwa fyatu kiasi hicho ila tu labda ni mshituko na alitaka kuhakiki ni kweli Abuu kafariri?

Ni mtazamo wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom