Hivi hii ni sawa na haki kwa Bunge letu kuendelea ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii ni sawa na haki kwa Bunge letu kuendelea ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Jul 10, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nawauliza wote haswa nikimlenga Mh Mbunge wangu hivi ni sawa na haki kuendelea na mijadala mingine wakati Watanzania wakiendelea kufa bila huduma za afya?
  Kwa kufanya hivyo mnatupa ujumbe gani?

  Nawasilisha
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mbunge wako ni yupi?
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Anajijua mkuu, ujumbe utakuwa umemfikia.
  wapiga kura wake wanataka ufumbuzi wa hili janga
   
Loading...