hivi hii ni miaka 49 ya uhuru wa Tanzania au Tanganyika?

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Wadau naomba kuuliza; hivi hii ni miaka 49 ya uhuru wa Tanzania au Tanganyika. Maana kwa uelewa wangu mdogo, Tanzania haijawahi kutawaliwa and therefore haijawahi kupata uhuru. Au ni kwamba baada ya muungano kila kitu kilichokuwa mali au kinahusishwa na Tanganyika automatically kikawa mali na kuusishwa na Tanzania?

Naomba kuwasilisha!
 
Usiwe mwoga, jibu unalo. Tunasherehekaea miaka 49 ya Uhuru wa TANGANYIKA mkuu.
View attachment 18219
Tatizo ni kuwa ili kulinda hii 'ndoa' (soma Muungano) basi kila kilichokuwa cha Tanganyika kimebakwa.
 
Back
Top Bottom