Hivi hii major update ya windows 10 mbona sijaielewa.o

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,567
2,000
Nina week ya pili sasa toka nilipofanya major update ya windows 10. Kwakweli sijaielewa naona haiko poa kama ilivyokiwa awali.
Kuna minor changes kwemye UI pia nazo sijazielewa pia.

Vipi wenzangu mmeielewa?
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,567
2,000
Ungetumia assistant window updater kuupdate window yako anyway wimdow 10 home iko sanaa
Mimi uwa nmeruhusu updates hvyo uwa kila.mara inajiupdate, hata hii ilikuwa automatic iliidownload lakini unlike siku nyinhine ikaniletea msg kuwa niruhusu install updates maana kufikia tarehe 16 hii iliyopo haitakuwa supported nikaruhusu ikachukua zaidi ya dakika 30 kuinstall ndiyo kumbe windows 10 iron.
Haina tofauti sana na iliyokuwepo kwa mtazamo wa mtumiaji ila sijaipenda sana kama iliyopta.
 
Mwalimu wa Zamu Tz

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
238
1,000

Nakushaur kama unaweza chukua flash au external HDD weka vitu vyako muhim then unistall iyo window aafu install Window 10 latest version utojutia ni supa sana
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,567
2,000
Bac kazi unayo....labda nenda device manager update vitu uko computer,display,keyboard n.k n.k
Siyo kwamba PC inatatizo, wala kuna kisichofanya kazi. Ila sijavutiwa sana na mabadiliko waliyofanya maybe nitaizoea baada ya muda. Thread yangu ililenga zaidi tu kujua wengine wameichukuliaje
 
Mwalimu wa Zamu Tz

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
238
1,000
Siyo kwamba PC inatatizo, wala kuna kisichofanya kazi. Ila sijavutiwa sana na mabadiliko waliyofanya maybe nitaizoea baada ya muda. Thread yangu ililenga zaidi tu kujua wengine wameichukuliaje
Alaaa nilifkr labda imepata shida baada ya ku-update mm nmeinstall latest version inakwenda safi ila haina alama hii (@)
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,724
2,000
Wame improve defenders na kutoa edge ya zamani hizo ndio changes nilizoziona wameandika, tofauti na hapo wamefix tu hapa na pale,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom