Hivi hii kweli inaweza kuwa Bei ya nyumba hii Dodoma?(Dodo chini ya mnazi)

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
837
1,000
Ipo mahungu-jijini dodoma

kiwanja chake kimepimwa(ukubwa wa square metres 450)

Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja kikiwa ni master.

Ina jiko,dinning,sebule,choo+bafu vya ndani,stoo

umbali toka city centre ni kilomita 9 tu

kiwanja chake ni cha tatu toka barabara kuu ya lami ya mwanza/singida/tabora

Maji+umeme viko jirani

una paua na kuhamia tu,nyumba imeisha

BEI YAKE SASA?
" Eti milioni 18 TU(FIXED)"
Mwenye macho Haambiwi ona na mwenye kuona fursa kama hii hawezi kuacha!!!

0767833496
0622111186
IMG_20180724_155457_2.jpg
IMG_20180724_155508_9.jpg
IMG_20180724_155614_2.jpg
IMG_20180724_155602_4.jpg
 
Top Bottom