MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Juu,
Hii ni Picha ya dege kubwa la mizigo kwingineko afrika, Lililotua Uwanja wa mkoa wa Anambra. Limekuja kubeba Nyanya,Maboga, samaki, Maparachichi etc yakisafirishwa moja kwa moja kutoka mji huo kwenda ULAYA na MAREKANI. Kwa mwezi wamesafirisha bidhaa za thamani ya BIl 12TSH na wakulima wanafuraha ajabu juu ya fursa hii.
Chini
Hapo juu ni Dege kubwa la mizigo (Trans arabia air transport) lililppata ajali 3/2/2000 mwanza likiijia samaki Tani 38 kupeleka ulaya hiyo mboga. Hapo yalitua madege ya kutisha yakiijia sato na sangara na yaliondoka moja kwa moja hadi sudan then ulaya. Leo Hakuna samaki, hakuna ubunifu, hakuna anayekuja uwanja umejaa ndege commercial tu. Inabidi tubuni hizi miundombinu ziendelee kutunufaisha kama zamani.
Nimepata kawivu jimbo/mji wa kawaida kabisa Anambra nigeria, ubunifu wa gavana na kutumia soko la AGOA (hata bongo lipo) sasa wanalisha ulaya na marekani. Mbona kama na sisi tunaweza.